Ø Mchanganuo wa biashara una vipengele vingapi rasmi?
Ø Ni kipengele kipi huanza mwanzo na ni kipi cha mwisho?
Ø Vipengele vya mpango wa biashara kuanzia Muhtasari mpaka Kipengele cha mwisho.
Mpenzi msomaji, Darasa linaendelea na kama hukuwa umejiunga bado haujachelewa
kwani masomo yanabakia kwenye blogu na hata nafasi ya kuuliza maswali ipo muda
wote.
Kitu cha msingi ni wewe kuchukua hatua ya kujiunga na darasa hili kwa kulipa kiingilio au ada ambayo ni shilingi elfu 10 tu. Ukishalipa unapata fursa ya kupewa bure kitabu cha “MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kikiwa katika mfumo wa PDF au softcopy na ikiwa utapenda kitabu cha karatasi, hardcopy basi ongeza shilingi elfu 10 kwa ajili ya gharama za uchapaji.
Tuma pia anuani yako ya E-mail lakini iwe ni ya(GMAIL) kusudi niweze kukutumia hicho kitabu na kukuunganisha na blogu ya MICHANGANUO au DARASA LA SEMINA kupitia hiyo email kwani huwezi kusoma kitu ndani ya blogu hiyo bila kwanza kufungua e-mail yako. Ili kufahamu zaidi juu ya Darasa bonyeza picha ya kitabu hapo chini. Namba zetu za simu ni; 0712202244 au 0765553030

Kitabu cha Darasa la Michanganuo ya Biashara. |
Kitabu hicho cha Michanganuo ya biashara na Ujasiriamali siyo kwamba kinahusiana na michanganuo ya biashara
tu peke yake hapana, ni kitabu kilichosheheni karibu kila somo la ujasiriamali
na biashara. Ukikipata kitabu hiki ni sawa na mtu “aliyeua ndege mia moja moja kwa jiwe moja”
0 Response to "SOMO LA 2 LEO 11/11/16: SEHEMU/VIPENGELE MUHIMU KATIKA MPANGO WA BIASHARA"
Post a Comment