8. 0
VIELELEZO
Vielelezo au
viambatanisho muhimu, ingawa ni hiyari yako kuviweka lakini vina umuhimu mkubwa
kwa ajili ya kuweka taarifa na maelezo ya nyongeza msomaji wa mpango wako wa
biashara anazoweza kuhitaji.....................................................................................................
Ndugu msomaji haya siyo masomo yenyewe kamili bali utangulizi tu, fuatana na mkufunzi wako katika BLOGU YA MASOMO YA SEMINA ya michangano ya biashara ili uweze kuyasoma masomo haya kikamilifu, pia utapata fursa ya kudownload bure vitu kama templates(kielezo) unachoweza kutumia kama ramani ya kukuongoza kuandika mpango wa biashara kwa urahisi zaidi bila ya kuumiza kichwa, michanganuo mipya ya kipekee nk.
Masomo yote 11 yamekamilika sasa, na yote yameshawekwa kwenye blogu ya Michanganuo, unapolipia unapata fursa ya kupakua masomo yote hayo katika mifumo ya PDF, MP3 pamoja na kutumiwa kwenye e-mail yako.
Jipatie RATIBA NZIMA YA MASOMO yote yanayopatikana kwenye semina hiyo.
Kwa HUDUA ZETU NYINGINE tunazozitoa bonyeza maneno hayo.
0 Response to "SOMO LA 11: VIAMBATANISHO MUHIMU AU VIELELEZO VYA MPANGO WA BIASHARA"
Post a Comment