Business plan(Mpango wa biashara) na Business
Proposal(Maombi ya tenda) ni vitu viwili tofauti kabisa lakini ambavyo mtu
unapovisoma au kuvisikia kwa haraka haraka unaweza kudhani labda ni kitu kimoja
hichohicho. Vilevile business proposal unaweza pia kuchanganya na kitu kingine
kiitwacho Project proposal(au andiko la mradi). Terms hizi usipokuwa makini
nazo unaweza usijue ipi ni ipi na hapa leo tutakwenda kuangalia vitu viwili,
business proposal na business plan.
Kwanza kabisa naamini kila mtu anaelewa juu
ya business plan kwani katika masomo yetu mengi tumekuwa tukiizungumzia mada
hiyo. Kwa upande wa Business Proposal hapa ndipo tutapazungumzia zaidi.
TOFAUTI
ILIYOPO
Business plan au mpango wa biashara ni andiko
linaloelezea kwa kina kuhusiana na biashara jinsi utakavyoendesha biashara yako
pamoja na taarifa zote zinazohusiana na wewe mwenyewe kwa lengo la kuonyesha
kwa wadau mbalimbali kama vile benki, wawekezaji, wabia, au wafanyakazi katika
biashara yako.
.........................................................................
Ndugu msomaji wa blogu hii, hili ni somo tunalokwenda kujifunza leo hii katika group letu la msomo ya kila siku la MICHANGANUO-ONLINE kuanzia saa 3-4 usiku. Kiingilio ni shilingi elfu 10 tu na unapata vitu vingi bure kikiwemo kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI. Simu zetu ni 0712202244, WHATSAPP: 0765553030
Kwa makala nyingine kamili na zilizowekwa hivi karibuni nenda HOME PAGE na ushuke chini ya makala hii utazikuta.
Baadhi ya vitu mbalimbali, makala zilizopita, masomo, semina na vitabu unavyotumiwa mara baada ya kulipia ni hivi hapa chini;
1. Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.
2. Masomo
11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
3. Kifurushi
maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)
4. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza,
ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.
5. Mfululizo
wa Tafsiri ya kitabu mashuhuri zaidi cha pesa, FIKIRI UTAJIRIKE
6. Kuunganishwa
na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.
7. Vielezo(Templates)
za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.
8. Masomo
yote yaliyopita katika group kuhusu MICHANGANUO NA MZUNGUKO WA FEDHA.
9. Mfumo
mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM)
unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake
pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
10. Somo
muhimu sana la mzunguko wa fedha.
11. Ukurasa
mmoja wa mchanganuo.
0 Response to "TOFAUTI ILIYOPO KATI YA BUSINESS PLAN NA BUSINESS PROPOSAL"
Post a Comment