JIUNGEE
NA BLOGU HII YA JIFUNZEUJASIRIAMALI KUPATA VITABU BILA MALIPO.
Baada ya kujaza taarifa zako, majina, E-mail na namba ya
simu, kisha kubonyeza maandishi “subscribe”
tutakutumia email kukujulisha ukubali, bonyeza maandishi hayo
na kufuata maeelekezo yote yanayofuata hatimae utaona kitabu
tulichokuandalia ‘free’ pamoja na zawadi nyingine ya vitabu vya pesa na
mafanikio vipatavyo 25 katika lugha ya kiingereza.
Utakuwa pia tukikutumia mara kwa mara makala maalumu
pamoja na chochote kile muhimu kitakachokuwa kikijiri mapema kabla hata ya
wasomaji wengine wa kawaida wa blogu kujulishwa. Unapojiunga na blogu maana
yake wewe ni mtu muhimu na unayestahili kupewa kipaumbele cha kwanza kabisa.
Asante kwa elimu
ReplyDeleteAsante nawe ndugu kwa kusoma hapa!
DeleteNa wewe pia!
DeleteShukrani sana
ReplyDeleteNa wewe pia ndugu!
DeleteAhsante sana kwa elimu
ReplyDeleteAsante na wewe pia mr. Hakim Shakur kwa kutembelea hapa.
DeleteAsante
ReplyDeleteNawewe pia astante sana
DeleteASANTE
Deletenashukuru sana wapendwa wa bwana, MWENYEZI MUNGU AWAZIDISHIE ZAIDI KWA KUJITOA KWENU.
ReplyDeleteBarikiwasana SIR BEM!
DeleteNajaribu kudowload nashindwa sijui kwann
ReplyDeleteKama tayari mafaili ya vitabu umeyaona lakini hayafunguki yawezekana labda chombo unachotumia simu au pc yako haina PDF reader, download kutoka play store au google na uinstall vitafunguka.
DeleteNajaribu kudowload nashindwa sijui kwann
ReplyDeleteTayari nimekujibu ikiwa tatizo litaendelea basi tuwasiliane.
DeleteMim ni mgeni katika blog hii laki kubwa zaidi naomb mafunzo yenu ya ujasiriamali , Asante
DeleteMi nahitaji changamoto yaan in negative je vitu gan vinamfanya afel kwwnye biashara...na ni mazingira gan yana mruhusu mtu kufanya biashara kulingana na bidhaa..cz huwe ukauza laptop vijijini.hivyo elimisha watu kuhusu mazingira na biashara
ReplyDeleteMambo yote hayo utayafanya wakati wa kutathmini biashara yako kabla ya kuianza au hata wakati umeshaianza. Kwa kifupi tathmini hiyo huitwa NUFUVI au SWOT Analysisi, maana yake ni NGUVU, UDHAIFU, FURSA na VIKWAZO(STRENGTH, WEAKNESSES OPORTUNITY and THREAT. Kila biashara kulingana na mazingira yake pamoja na yule anayetarajia kuifanya ina vitu ambavyo vinaipa nguvu na pia vile vinavyoifanya izorote(udhaifu). Vitu hivyo 2 mmiliki wa biashara anao uwezo wa kuvibadilisha ikiwa ataamua na mfano mmoja wapo ni eneo kama ulivyosema. Eneo likikuzingua unaweza kubadilisha ukahamia eneo zuri zaidi Pia kuna mazingira ya nje ya biashara hiyo ambayo mmiliki hana uwezo wa kuyabadilisha kwa urahisi yanayochochea biashara ikue au isinyae pia mfano mmoja wapo ni sera za serikali kwani zikiwa nzuri au mbaya huwezi ukazibadilisha isipokuwa tu unaweza kuweka mazingira yako yaendane nazo.
DeleteNashukuru sana najifunza mengi
ReplyDeleteAsante sana kwa kutambua juhudi zetu, be blessed.
DeleteGreat
ReplyDeleteThank you very much guy!
DeleteElimu imenifaa sana.
ReplyDeleteAsante
Asante sana ndugu!
DeleteElimu nzuri nahitaji vitabu
ReplyDeleteAsante sana, vitabu vipo tuwasiliane tu.
Deletembarikiwe
ReplyDeleteNa wewe pia, barikiwa sana ndugu!
Deletenashukuru nimepata somo zurisana kuhusu biashara
ReplyDeleteAsante sana tuendelee kuwa pamoja
DeleteNinashauku kubwa sana kuanza biashara ya duka la rejareja, ninaimani kupitia kwenu nitajufunza mengi
ReplyDeleteAsante sana na tupo pamoja
DeleteShukrani sana kwa elimu hii,be blessed!🙏
ReplyDeleteAmeen!
DeleteAsante sana
ReplyDeleteNawe pia asnate kwa kusoma hapa!
DeleteGood lesson
ReplyDeleteNimeipenda
ReplyDeleteBarikiwa sana!
DeleteFIKIRI NA UTAJILIKE nakipata kwa shngapi
ReplyDeleteTZS 20,000/= Hardcopy utaletewa mpaka ulipo na TZS 10,000/= kupitia application (APP) ya GETVALUE https://www.getvalue.co/home/product_details/think_&_grow_rich-swahili-_edition
ReplyDelete