![]() |
Abiria wakitafuta mizigo yao baada ya ajali kutokea. |
Basi la Meridian linalofanya safari zake Dar es
Salaam na Rombo Mkoani Kilimanjaro limepata ajali eneo la Mbwewe Bagamoyo
mkoani Pwani likitokea Rombo kuelekea jijini Dar es Salaam. Abiria kadhaa
wamepoteza maisha katika ajali hiyo mbaya lakini idadi kamili bado haijatambulika. Limekatika siti
zipo nje. Dereva bado hajatolewa. taarifa zinasema dereva wake kafia hapo hapo
na abiria wengine pia wamefariki.
Chanzo:
Emanuel Shilatu Blog
0 Response to "BASI LA MERIDIAN LAPATA AJALI MBAYA BAGAMOYO."
Post a Comment