Boksi lenye kichwa cha mtu na mikono 2 latumwa kwa kamishna wa polisi. | JIFUNZE UJASIRIAMALI

Boksi lenye kichwa cha mtu na mikono 2 latumwa kwa kamishna wa polisi.

Nairobi.
Kamishna wa polisi nchini Kenya Johnston Kavuludi ametumiwa boksi lenye kichwa cha mtu.
Kamishna huyo ametumiwa furushi hilo lenye kichwa  pamoja na mikono miwili ya binadamu ikiambatanishwa na ujumbe ulioandikwa ‘Kavulundi you are next’.
Kamishna Kavuludi alichaguliwa mwaka jana kuongoza juhudi za kufanya mabadiliko katika jeshi la polisi nchini humo.
Chanzo: Gazeti la Standard


0 Response to "Boksi lenye kichwa cha mtu na mikono 2 latumwa kwa kamishna wa polisi."

Post a Comment