MBAKAJI ALIYEUA AFUNGWA MIAKA 3 ! | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MBAKAJI ALIYEUA AFUNGWA MIAKA 3 !

New Delhi.
Mama wa msichana aliyebakwa na kuuawa na kundi la watu sita Desemba mwaka jana huko india ameondoka mahakamani  huku machozi yakimchuruzika na kuwaambia waandishi wa habari kuwa mshukiwa alipaswa kunyongwa. “Kwa kutokumuadhibu kijana huyu, kadhia hii inahamasisha vijana wengine kujiingiza katika vitendo vya namna hiyo, na haitoi usalama wowote kwa wasichana”

Mshukiwa alilitenda kosa hilo akiwa na wenzake watano na alikuwa amebakiza miezi sita kufikisha umri wa utu uzima wa miaka 18, hivyo kuifanya mahakama kumchukulia kama ni mtoto.
Credit : BBC

0 Response to "MBAKAJI ALIYEUA AFUNGWA MIAKA 3 !"

Post a Comment