PAMBANO LA CHEKA NA PHIL WILLIAMS KAMA, “THE RUMBLE IN THE JUNGLE” LA MUHAMMAD ALI. | JIFUNZE UJASIRIAMALI

PAMBANO LA CHEKA NA PHIL WILLIAMS KAMA, “THE RUMBLE IN THE JUNGLE” LA MUHAMMAD ALI.



Cheka akimchakaza Phil
Phil akidhibitiwa vilivyo

Mashabiki wengi  wa mchezo wa ngumi mitaani leo wamesikika wakilifananisha pambano la WBF kati ya  Mtanzania Francis Cheka na Mmarekani Phil Williams na pambano la kihistoria, “The Rumble in the Jungle” lililofanyika nchini Zaire (siku hizi DRC) mwaka 1974 kati ya Muhammad Ali, Mmarekani mweusi  vs George Foreman Mmarekani  ambapo Ali alimshinda George katika raundi ya 8. Lilikuwa ni tukio  kuu zaidi la kimchezo karne ya 20.

Ali akimchakaza Foreman.

Foreman akiwa nyanga nyanga.

0 Response to "PAMBANO LA CHEKA NA PHIL WILLIAMS KAMA, “THE RUMBLE IN THE JUNGLE” LA MUHAMMAD ALI."

Post a Comment