Makamu wa waziri wa mambo ya nje wa Syria Faisal Mekdad
ameliambia shirika la habari la BBC
kwamba ugaidi utashamiri kila kona ikiwa
Marekani na washirika wake wataamua kuishambulia Syria kwa madai yasiyokuwa na
ushahidi, eti serikali ya Bashar Al Asad mnamo August 21 mwaka huu huko Mashariki mwa
jiji la Damascus ilitumia silaha za kikemikali kuwaua raia wake wapatao
1,400 wakiwemo watoto 426.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Response to "KUISHAMBULIA SYRIA NI KUISAIDIA ALQAEDA"
Post a Comment