Nimekutana na makala moja kutoka blogu ya Amani Furaha na Upendo,
japo ya kitambo kidogo lakini imenivutia niakaona siyo vibaya na wewe msomaji
nikakushirikisha hasa ikiwa unapenda ujasiriamali wa kutengeneza mapishi ya
vitu mbalimbali.
Fungua makala hiyo hapa Amani Furaha na Upendo Blog uweze kuisoma kwa kina
0 Response to "NI KWA NJIA YA UJASIRIAMALI PEKEE NDIPO MTU ANAWEZA KUUKARIBISHA UTAJIRI NYUMBANI KWAKE NA KUUAMBIA UMASIKINI 'BYE BYE'"
Post a Comment