Mwanamke Mmoja wa kinaijeria Nancy Chukwu katika mji wa
Enugu, ‘amesuka dili’ la kujifanya ametekwa na watu wasiojulikana ili mumewe
atoe kiasi cha naira za kinaijeria 200,000
sawasawa na euro (£780; au dola $1,250). Lakini mumewe huyo alishtukia
dili na kwenda kuwataarifu polisi ambao walikwenda kumtia mbaroni yeye pamoja
na kijana wa bodaboda waliekula njama hizo za kutaka kujipatia utajiri wa chap
chap. Haijajulikana mara moja kama ndoa ya wawili hao itavunjia au la.
CHANZO. BBC
0 Response to "MKE ASUKA DILI LA KUTEKWA NA KIJANA WA BODABODA KUMCHOMOA MUMEWE MAMILIONI"
Post a Comment