 |
Rais mteule wa TFF Jamal Malinzi |
‘Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa na asiyekuwa na mwana
aelekee jiwe’ hayo diyo maneno mashabiki wa mpira wengi mitaani walivyosikika
wakitamka leo nchini Tanzania baada ya kile kinyanganyiro cha uraisi wa TFF kilichosubiriwa kwa hamu muda mrefu kumalizika rasmi huku Jamal Malinzi
akitwaa Uraisi wa Shirikisho hilo na kumbwaga hasimu wake mkubwa Athmani
Nyamkani.
 |
Wallace Karia mshindi katika nafasi ya umakamu wa Rais TFF |
Vile vile nafasi ya Umakamu imemuangukia Wallace
Karia baada ya kuwagaragaza Iman Madega na Ramadhan Nassib.
0 Response to "NI MALINZI NA KARIA, NYAMKANI, MADEGA NA NASSIB CHALI"
Post a Comment