Damu salama ndani ya kifaa maalumu. |
Dar es Salaam na mikoani. Wakati Serikali ikisisitiza
kuwa huduma ya kumwongezea mgonjwa damu hospitalini ni bure, imebainika kwamba
baadhi ya watu mitaani wakiwamo wabeba mizigo sokoni wanauza damu zao kwa watu
wanaohitaji.
Mbali ya watu kuuza damu zao, majimaji hayo mekundu muhimu
mwilini yamegeuka bidhaa adimu baada ya baadhi ya wauguzi na madaktari nao
kugeuza huduma hiyo kuwa kitegauchumi chao.
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, ni kosa kwa mtumishi yeyote wa afya nchini kumuuzia mgonjwa damu na wala hakuna biashara ya kuuza damu kwa kuwa hutolewa bure na watu wanachangia kwa hiari. Fuatilia habari hii yote katika mtandao wa mwananchi kwa kubofya hapa.
0 Response to "HIKI NI KIAMA:UJASIRIAMALI HATA WA KUUZA VIUNGO NA DAMU YA BINADAMU!"
Post a Comment