Lakini
leo /sasa kila mtu na chake. Hakuna tena ule umoja wa kunywa pamoja, kula
pamoja na kusali pamoja. Je? kwa nini umoja wetu umepotea?----Nawatakieni wote
Ijumaa njema ila usinywe ugimbi/ ulanzi/ pombe...mwingi/nyingi ,,Lol
Story kutoka Maisha na mafanikio blogu. Nimeipenda, inanikumbusha kijijini enzi hizooo! tulipokuwa tunakunywa mbege.
0 Response to "HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA HAPO KALE UJAMAA, UMOJA, USHIRIKIANO NA UNDUGU !!!"
Post a Comment