Mjane wa Marehemu (katikati) |
Kwa
nini watu bado wana imani za kishenzi namna hii katika karne hii ya 21 ambayo
watu tulifikiri ni ya sayansi na teknolojia? Je, ni kutokana na ukosefu wa
elimu ya kutosha, kutokuwa na dini, umasikini uliokithiri, au ni ushawishi wa
waganga wa jadi wanaotumia ramli?. Na ni kwa nini vitendo hivi vya kuwazika
watu wakiwa hai vitokee Mbeya peke yake?. Serikali, dini mbalimbali, na
mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kwa pamoja inabidi tusake majibu ya maswali
haya.
Mwili wa yule mzee Mwaikasu aliyezikwa akiwa hai hatimaye umefukuliwa na polisi, hapa ni baadhi tu ya picha, na kumradhi ndugu msomaji, picha kama hizi tumezionyesha kwa lengo la kuelezea ubaya na madhara ya imani hizi potofu za kishirikina.

Mwili wa marehemu ukianza kuonekana zoezi lilipokuwa likiendelea |
Mwili wa Marehemu ukizikwa upya lakini na wasamaria watu wa karibu hawakutokea wakihofia kukamatwa |
0 Response to "INATISHA NA KUHUZUNISHA SANA: PICHA ZA UFUKUAJI MZEE ALIYEZIKWA HAI HUWEZI KUTAZAMA MARA MBILI"
Post a Comment