MAN UNITED NOMA,YAFANYA MAUAJI YAKUTISHA, YAWATANDIKA WAJERUMANI 5, BILA NYUMBANI KWAO | JIFUNZE UJASIRIAMALI

MAN UNITED NOMA,YAFANYA MAUAJI YAKUTISHA, YAWATANDIKA WAJERUMANI 5, BILA NYUMBANI KWAO

Manchester United
Timu ya Manchester United imesababisha maafa makubwa, baada ya kuichapa Bayer Leverkursen mabao 5 kwa ubuyu huko Ujerumani katika mechi ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya.
Mabao ya Manchester  yalipachikwa wavuni  na Valencia katika dakika ya 22, Spahic naye akafunga dakika ya 30, dakika ya 65 Evans akapachika lingine, Smalling dk. ya 77 na Nani akamalizia la tano mnamo dak. ya 88.
Manchester United walikua: De Gea, Smalling, Ferdinand, Evans, Evra/Buttner , Jones, Giggs, Valencia/Young , Kagawa, Nani na Rooney/Anderson. Wakati Bayer Leverkusen kikosi kilikuwa na : Leno, Donati, Spahic, Omer Toprak, Can, Bender/Kohr , Reinartz/Hegeler , Rolfes, Castro, Son Heung-min/Derdiyok  na Kiessling.


0 Response to "MAN UNITED NOMA,YAFANYA MAUAJI YAKUTISHA, YAWATANDIKA WAJERUMANI 5, BILA NYUMBANI KWAO"

Post a Comment