Kampuni ya simu ya Motorola inayomilikiwa na Google sasa imezindua simu
ya kisasa ya gharama ndogo ikiwa na sifa ambazo hupatikana kwenye simu za
gharama kubwa.
Simu hizo aina ya Moto G zitauzwa kwa pauni 135 nchini Uingereza
na dola 179 nchini Marekani.Wachambuzi wa mambo wanaona kuwa soko la simu hizi
mpya litaongezeka maradufu.
Chanzo: BBC
0 Response to "MOTOROLA YAZINDUA SIMU YAKE MPYA"
Post a Comment