![]() |
Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo |
Joseph Kabila, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo zamani (Zaire) akiongea na Wananchi wa Mashariki ya nchi hiyo
iliyowashinda waasi wa M23 hivi karibuni katika vita vilivyodumu kwa takribani
mwaka mmoja, alikuwa akizungumza kwa kiswahili safi utadhani ni Mtanzania vile.
Msikilize hapa alivyokuwa akitiririka Kiswahili.
CREDIT: DW Radio Ujerumani Kiswahili
0 Response to "RAIS JOSEPH KABILA WA DRC AKIZUNGUMZA KISWAHILI FASAHA UTAFIKIRI NI MTANZANIA HALISI"
Post a Comment