![]() |
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya akizungumza |
Ni mshangao kwani mimi ninafikiri kwamba kama Raisi
Uhuru Kenyatta dhamira yake ya thati ni kukipigia debe Kiswahili kitumike na
Wana Afrika Mashariki wote, basi angelitumia lugha yenyewe ya Kiswahili kuhamasisha.
Hata hivyo hana budi kupongezwa kwa hatua hiyo kwani safari ni hatua, wakati
mwingine atazungumza kwa lugha ya Kiswahili yenyewe.
Hebu msikilize hapa alivyokuwa akiongea wakati wa ufunguzi wa kutiwa saini mjini Nairobi itifaki ya kuanzishwa kwa sarafu moja Afrika Mashariki kwenye kikao cha Bunge la Jumuiya hiyo.
HABARI NA DW RADIO
0 Response to "RAISI UHURU KENYATTA AKIKIPIGIA DEBE KISWAHILI A.MASHARIKI HUKU AKITUMIA LUGHA YA KIINGEREZA"
Post a Comment