BRAZILI YAPATA GOLI LA TATU DAKIKA ZA LALA SALAMA, YASHINDA MECHI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

BRAZILI YAPATA GOLI LA TATU DAKIKA ZA LALA SALAMA, YASHINDA MECHI



Mechi imemalizika kwa wenyeji Brazili kushinda kwa mabao 3 kwa 1 dhidi ya timu ya Croatia, bao ambalo Brazili walijifunga wenyewe. Hata hivyo kiwango cha Brazili kilikuwa siyo kama vile watu wengi walivyotarajia na hii inatia wasiwasi kama Brazili itafanya vizuri hapo baadae. Kesho ni Mexico na Timu ya kwanza kutoka Barani Afrika Cameroon tuangalie tuone simba hao wasioshindika watafanya vipi

0 Response to "BRAZILI YAPATA GOLI LA TATU DAKIKA ZA LALA SALAMA, YASHINDA MECHI"

Post a Comment