![]() |
Kikosi
cha timu ya Cameroon(Simba wasioshindika)
|
Leo
wawakilishi wa Afrika Cameroon miongoni mwa wawakilishi wengine wanne wataingia
uwanjani kukabiliana na Timu ya Mexico. Bara zima la Africa macho yao leo wanayaelekeza
jijini Sao Paulo wakitarajia maajabu kutoka kwa timu hiyo mashuhuri iliyowahi
kutinga nusu fainali za kombe hilo miaka iliyopita.
0 Response to "CAMEROON ITAFANYA MAAJABU LEO?"
Post a Comment