
Zikiwa
zimesalia dakika 10 mpira umalizike katika uwanja wa Sao Paulo katika mechi ya
ufunguzi wa kombe la Dunia, Brazili inaongoza kwa mabao 2 mbele ya Croatia
ambayo ina bao moja, Croatia katika dakika hizi almanusura isawazishe dakika ya
39 kipindi cha pili lakini kwa bahati nzuri goli halikuingia . Brazili inaonekana
kutokuwa na yale makeke yake yaliyozoeleka miaka yote lakini pengine ni
kutokana na Croatia nayo kuwa ni timu kali.
0 Response to "MATOKEO BRAZILI 2 CROATIA 1, BADO DAKIKA 10 MPIRA UMALIZIKE"
Post a Comment