HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA NUSURA AMUUE, HEBU MCHEKI HAPA CHINI
Nilifikiri Yale ya mtoto wa boksi hutokea hapa Tanzania
tu peke yake kumbe nilikosea. Mambo haya jamani kumbe hutokea kila mahala
Duniani, Tunapaswa kujiuliza kila tunapowaacha wanetu na mayaya au watu
wengine wowote wale ikiwa usalama wao ni wakutosha, hebu fikiri isingelikuwa
wazazi wa haka katoto walikuwa ni watu
wanaojiweza wakaweka huo mtego wa kamera, si
angeliuwawa siku moja, ndiyo ni lazima tu angekufa siku moja kama kipigo chenyewe ndiyo hiki.
0 Response to "HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA NUSURA AMUUE, HEBU MCHEKI HAPA CHINI"
Post a Comment