Makala kutoka kipindi cha “Vijana tugutuke” cha Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Ujerumani( DW)
inayoelezea ripoti ya Taasisi ya Afrika Mashariki ya Chuo kikuu cha Aghakan juu ya mtizamo wa vijana nchini Kenya.
Kijana
tayari akitoa rushwa mfukoni.
|
Inaonyesha karibu nusu ya vijana nchini Kenya wanaamini
kuwa haijalishi ni kwa namna gani mtu anatengeneza
au kupata pesa mradi tu hatajikuta gerezani, lakushangaza ni kwamba vijana hao,
wanakiri kuwa wanawatamani wale ambao hujikusanyia mali kwa kutumia mbinu chafu,
asilimia 30% wanaanini kuwa ufisadi una faida na asilimia nyingine 35%
wanaamini wako tayari kutoa hongo.
0 Response to "RIPOTI YA AJABU: TUMIA NJIA ZOTE KUPATA PESA ILIMRADI USIFUNGWE JELA"
Post a Comment