Ni kitabu kizuri kilichobeba kanuni, “Theory” ya
kujifunza elimu ya pesa na mafanikio kwa ufanisi mkubwa. Watu wengi wamekuwa
wakipata shida na kuwa njia panda wanapokutana na programu mbalimbali zinazohusika na
uelimishaji elimu ya pesa na mafanikio kiasi ambacho hushindwa kuamua wafuate
mkondo upi, wasome kitabu cha mwandishi yupi, wafuatilie semina za mhamasishaji
yupi, na hata wafuatilie mafundisho ya kocha yupi. Kanuni itakupa jawabu sahihi
na muafaka.
Pamoja na kitabu hicho kipya katika lugha ya kiswahili,
vile vile vimeambatanishwa na zawadi nyingine ya vitabu “vikali”(tumekuchagulia
vile ‘cream’) katika lugha ya kiingereza vihusuvyo elimu ya pesa, mafanikio na
maendeleo binafsi vipatavyo 25.
Vitabu vyote hivi, hautachajiwa hata senti tano,
“ni free of charge” nikiwa na maanisha ni BURE kabisa!. Ila utakachopaswa
kukifanya ni kwenda katika fomu iliyopo mwanzoni mwa blogu hii pale upande wa
kulia na ujaze taarifa zifuatazo;
(1)Barua pepe
yako(email) unayoitumia marakwa mara.
(ii) Majina yako
mawili.
(iii) Namba zako
za simu.
Lengo la sisi kutaka taarifa hizi ni kwa sababu ya
kukutumia zawadi tulizozitaja hapo juu na pia kwa ajili ya kuendelea kukutumia
vitabu vingine tutakavyoendelea kutunga pamoja na makala maalumu zile zenye
umuhimu wa kipekee. Unapojiunga na sisi unakuwa mtu maalumu kwetu unayestahili
kupokea zawadi na vitu vipya kabla hata ya wasomaji wengine wa kawaida wa blogu
havijawafikia.
Njia mbadala ya kujiunga unaweza pia ukafungua makala hii
hapa isemayo, KWANINI VITABU NA SEMINA ZA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIOHAVIWASAIDII WATU WENGI?, chini kabisa mwishoni mwa makala hiyo utakuta fomu
kama hiyo tuliyotaja awali ambayo nayo unaweza ukajaza taarifa zilizotajwa na
kisha baada ya hapo unaingia katika email yako kufungua email tutakayokuwa
tumekutumia, fuatilia maelekezo mpaka umepakua vitabu vyako.
Interested
ReplyDelete