SURA YA 5.
Hatua ya 4 kuelekea utajiri.
Ujuzi/maarifa hayawezi kumsaida mtu kupata pesa au utajiri ikiwa kama hayatapangiliwa vizuri na kuwekwa katika
vitendo. Ndiyo sababu utakuta kwa mfano kuna watu wenye elimu na maarifa mengi lakini hawana
fedha nyingi, wapo maprofesa wengi wa vyuo vikuu waliobobea
katika kutoa maarifa lakini hawakubobea katika kuyaweka maarifa hayo
katika vitendo halisi.
Ili uhesabike kuwa ni Msomi siyo lazima uwe na maarifa mengi, bali utahesabika
msomi ikiwa tu utajijengea uwezo kiakili wa kuweza kupata maishani chochote kile ukitakacho, ili mradi hauingilii wala kuzima haki za
watu wengine, ndani ya
kitabu mwandishi amemtaja Henry
Ford, mgunduzi wa magari kama mfano mmoja wapo katika hili.
0 Response to "MAPITIO KWA UFUPI YA KITABU THINK AND GROW RICH SURA YA TANO 5"
Post a Comment