SURA YA SITA.
UBUNIFU (IMAGINATION)
(Karakana ya akili)
Hatua ya 5 Kuelekea utajiri.
Ubunifu
(imagination) Hapa ndiyo karakana (workshop) mipango yote inayopangwa na akili
ya binadamu inapobuniwa. Ndiyo mahali msukumo na shauku vinapotengenezwa na
kupewa vitendo kwa njia ya kufikirika kupitia idara ya ubunifu ya akili.
Inasemekana kwamba binadamu anao uwezo wa kufanya kitu chochote kile ambacho
akili yake inaweza kukibuni/kuumba.
0 Response to "TATHMINI YA KITABU THINK AND GROW RICH KWA UFUPI SURA YA 6 (UBUNIFU)"
Post a Comment