SURA YA 4.
KUJISHAURI (Njia ya kusisimua
mawazo ya ndani.)
Hatua ya 3 kuufikia utajiri.
Kujishauri binafsi (Autosuggestion) ni neno linalomaanisha
ushauri, mawazo au pendekezo lolote
mtu analojipa mwenyewe ndani ya akili
yake. Akili ya kila mtu inao uwezo wa
kudhibiti kile kinachoingia katika mawazo/akili ya ndani kupitia akili ya nje (milango 5 ya fahamu) ni kama vile lilivyokuwa shamba,
ikiwa utaotesha mbegu za mazao mazuri, pia utavuna mazoa mazuri na ukiamua
kuacha vitu vijiotee vyenyewe tu utavuna magugu na miiba. Hali kadhalika na akili yako ya ndani(Subconscious mind). Kwa kutumia utaalamu huu wa kujishauri
mwenyewe mambo yaliyokuwa mema au chanya, ukichanganya na viungo vinginevyo
vilivyokwishatajwa hapo awali, shauku, imani na uvumilivu, ni lazima
utafanikiwa katika lengo lolote unalojiwekea.
0 Response to "THINK & GROW RICH: MAPITIO NA UCHAMBUZI SAHIHI SURA YA NNE"
Post a Comment