THINK & GROW RICH:MAAJABU YA KUBADILI FIKRA ZA KIMAPENZI SURA YA 11 | JIFUNZE UJASIRIAMALI

THINK & GROW RICH:MAAJABU YA KUBADILI FIKRA ZA KIMAPENZI SURA YA 11

SURA YA KUMI NA MOJA.
MAAJABU YA KUBADILI FIKRA ZA KIMAPENZI.
Hatua ya 10 kuelekea utajiri.
Kubadili fikra za kimapenzi maana yake ni kugeuza mawazo ya  kufanya  kitendo cha mapenzi na kuyahamishia mawazo hayo katika maswala mengineyo chanya.

Hamu ya mapenzi kwa binadamu ndiyo hamu iliyokuwa na nguvu kushinda  nyinginezo zote. Mtu anaweza kufanya jambo lolote mbele ya mapenzi,  kwa mfano mwanaume yuko radhi  hata aliwe na simba  juu ya  jambo  hili.

Kwa hiyo ikiwa nguvu hizi zitaelekezwa katika maswala  mengineyo kama vile sanaa, masomo, taaluma yeyote ile au hata shughuli za kibiashara,  zinaweza kuleta matokeo sawa sawa na yale yanayoweza kupatikana katika  mapenzi yaani, ujasiri, umakini katika  ubunifu nk. Mihemko ya kimapenzi  inabeba siri ya uwezo mkubwa wa kiubunifu.




<<<Kurudi Sura ya 10<<<          

0 Response to "THINK & GROW RICH:MAAJABU YA KUBADILI FIKRA ZA KIMAPENZI SURA YA 11"

Post a Comment