SURA YA 10.
NGUVU YA WASHIRIKA.
(Uwezo wa kuendesha mambo)
Hatua ya 9 Kuelekea Utajiri
Nguvu ni muhimu katika safari ya
kutafuta utajiri. Mipango bila ya nguvu
ya kutosha kuigeuza kuwa vitendo haina maana yeyote. Sura hii inazungumzia jinsi mtu anavyoweza
kupata na kutumia nguvu/uwezo.
Uwezo au nguvu ni maarifa yaliyopangiliwa na kuelekezwa kwa
ustadi.Tunaweza kupata uwezo kwa njia zifuatazo:-
a) Ubunifu wa
akili.
b) Uzoefu wa muda mrefu.
c) Kufanya utafiti na majaribio.
Lakini mtu mmoja hata kama atakuwa
na vyanzo hivyo vyote 3 vya uwezo
bado atahitaji nguvu kutoka kwa wenzake
(Washirika) ambao atashirikiana nao kwa
moyo wa masikilizano katika kutimiza lengo alilojiwekea.
0 Response to "UCHAMBUZI SURA YA 10, KITABU THINK AND GROW RICH(NGUVU YA WASHIRIKA)"
Post a Comment