UFUPISHO KITABU CHA NAPOLEON HILL,THINK AND GROW RICH SURA YA 13(UBONGO) | JIFUNZE UJASIRIAMALI

UFUPISHO KITABU CHA NAPOLEON HILL,THINK AND GROW RICH SURA YA 13(UBONGO)

SURA YA 13.
UBONGO.

(Kituo cha  kurusha na kupokea mawazo.)
Hatua ya 12 kuelekea utajiri.

Mwandishi Napoleon Hill  alipokuwa akifanya kazi na mvumbuzi Dr. Alexander Graham Bell, alibaini kuwa  ubongo wa binadamu hufanya  kazi sawa na kituo cha kurushia matangazo ya redio. Una uwezo wa kupokea  mawimbi ya fikra (mawazo) yanayotolewa na ubongo na mtu mwingine.Hali kadhalika nao kurusha mawimbi kwa ubongo wa mtu mwingine.

Mawazo ni nguvu inayoweza kusafiri kama  mawimbi yafanyavyo, yanapokuzwa au kuongezewa nguvu na kichocheo chochote kile mfano mapenzi huweza kusafiri kwa nguvu kubwa kuliko mawazo ya kawaida tu yasiyochokozwa na kitu chochote kile.Mawazo hayo huweza kusafiri kutoka ubongo wa mtu mmoja kwenda kwa ule wa mtu mwingine.


>>>Nenda Sura ya 14>>>                

<<<Rudi Sura    ya 12<<<              


2 Responses to "UFUPISHO KITABU CHA NAPOLEON HILL,THINK AND GROW RICH SURA YA 13(UBONGO)"

  1. Much obliged to you for posting such an incredible article! I discovered your site ideal for my requirements. It contains great and supportive posts. Keep doing awesome!
    Rich Dad in Rich Dad Poor Dad

    ReplyDelete
    Replies
    1. Thank you Mr. John for your appreciation on my work, i promise keep on doing even better than that. God bless you brother!

      Delete