Mada
za somo hili kwenye Darasa letu ni hizi hapa chini,
· Jalada la nje la mchanganuo wa biashara
· Vitu muhimu vinavyopaswa kuwa juu ya jalada la nje
· Kichwa cha habari cha mchanganuo wa biashara
· Yaliyomo.
JALADA
LA NJE(COVER PAGE)
Vitu muhimu vinavyopaswa kuonekana juu ya
jalada la nje ni;
· Jina
la biashara
· Tarehe
na mwaka wa kuandikwa mchanganuo huo
· Anuani
ya biashara pamoja na
· Anuani
au jina la mwandishi/majina ya waandishi
SOMO HILI LINAENDELEA HATIKA DARASA LA SEMINA YA MICHANGANUO, JIUNGE ILI UWEZE KUSOMA SOMO ZIMA
Kama unapenda masomo haya na ungependa kujiunga na darasa bado hujachelewa nafasi ipo, wala hujapitwa na somo kwani masomo yote huhifadhiwa katika blogu ya MICHANGANUO kwa ajili ya mtu yeyote anayeyahitaji. Unachopaswa kukifanya ni kulipia semia shilingi elfu 10 tu ambapo utaunganishwa na darasa pamoja na kupewa bila malipo kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kikiwa katika mfumo wa kielektroniki(softcopy).
Kama unapenda masomo haya na ungependa kujiunga na darasa bado hujachelewa nafasi ipo, wala hujapitwa na somo kwani masomo yote huhifadhiwa katika blogu ya MICHANGANUO kwa ajili ya mtu yeyote anayeyahitaji. Unachopaswa kukifanya ni kulipia semia shilingi elfu 10 tu ambapo utaunganishwa na darasa pamoja na kupewa bila malipo kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kikiwa katika mfumo wa kielektroniki(softcopy).
Lakini ikiwa kama utataka kitabu cha karatasi(Hardcopy) utalipia semina shilingi elfu 10 kama kawaida lakini kitabu hicho cha karatasi utapewa kwa bei ya punguzo la shilingi elfu 10 badala ya bei ya kawaida ya shilingi elfu 20 (usisahau
na chaji ya usafiri kama upo mkoani, kwa Dar tunakuletea ulipo)
Masomo hayachagui upo sehemu gani, mkoa wowote ule au nchi yeyote ile unaweza kushiriki, na kuhusu kitabu hata kama upo mkoani na ukapenda utumiwe kitabu cha karatasi inawezekana lakini inabidi uongeze gharama kidogo za kukisafirisha ambazo mara nyingi hutegemea na umbali, kuna mikoa watu wa mabasi huchaji mpaka sh. 10,000/- lakini kwa mikoa ile ya karibu haizidi shilingi, 5,000/=
Hata
hivyo ukiwa mikoani, mkoa wowote ule na ukataka kitabu cha
kielektroniki(softcopy) kupitia e-mail yako, bei itabakia ni ile ile shilingi 10,000/=. Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kuingia katika blogu ya mafunzo ya michanganuo bonyeza hapa.
Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI ni kitabu cha kipekee kabisa kilichobeba masomo karibu yote
yahusianayo na Biashara na Ujasiriamali kwa ujumla. Ni kitu gani
kinachokutatiza katika biashara yako hautakikuta ndani ya kitabu hiki?
Kitabu
hiki nakifananisha na soko la Kariakoo, Hivi unafahamu ni kwa nini kutwa kucha
watu wengi hupenda kukimbilia Kariakoo kujinunulia mahitaji yao?
Kwanini
uhangaike juani mara Manzese, mara Buguruni, Sijui Ilala kutafuta mahitaji tofauti
wakati kila kitu unaweza kukipata kariakoo? Tulia sehemu moja uepukane na
gharama za nauli na kupoteza muda wako wa thamani, muda ndiyo rasilimali pekee duniani ambayo huwezi ukairudisha tena maisha yako yote.
KARIBU
TUJIFUNZE PAMOJA TUPIGE HATUA KUTOKA PALE TULIPO SASA NA KUSONGA MBELE ZAIDI
KIUCHUMI.
Mwandishi
na mhamasishaji wako;
Peter
A. Tarimo
0712
202244
0 Response to "SOMO LA 3, JALADA LA NJE LA MPANGO WA BIASHARA, YALIYOMO NA KICHWA CHA HABARI"
Post a Comment