Somo letu la kwanza katika darasa letu la SEMINA YA KUANDIKA MICHANGANUO YA BIASHARA tutajifunza mambo yafuatayo;
Ø Maana
ya mchanganuo au mpango wa biashara ni nini?
Ø Majina
mbalimbali yanayomaanisha mpango wa biashara
Ø Ni
kina nani wanaohitaji mpango wa biashara
Ø Unaanzaje
kuandika mpango wako wa biashara?
Ø Mawazo
ya mchanganuo wa biashara unayatoa wapi?
Darasa limeanza leo rasmi katika Chuo cha Michanganuo
ndani ya blogu ya MICHANGANUO YA BIASHARA. Kiingilio katika darasa hili ni
shilingi elfu 10,000/= ambazo unapewa na kitabu kimoja cha JIFUNZE MICHANGANUO
YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kikiwa katika mfumo wa Softcopy au kitabupepe
utakachotumiwa kwenye E-mail yako.
Kulipa kiingilio hiki tuma pesa na anuani yako ya EMAIL
lakini ni lazima iwe ya GMAIL kwenye
moja kati ya namba za simu zifuatazo, 0712
202244 au 0765 553030 jina ni Peter Augustino Tarimo.
0 Response to "SOMO LA LEO 1: JINSI YA KUANZA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA, UTAANZA VIPI?"
Post a Comment