2. Ndiyo
kitabu cha kwanza kabisa nchini Tanzania cha elimu ya pesa na mafanikio
kuandika juu ya MIFEREJI 7 YA PESA(KIPATO), Siri kubwa za matajiri ambazo
zilikuwa hazizungumzwi mara kwa mara, na masuala yote yahusuyo maendeleo
binafsi ya mtu kama vile njia bora kabisa za kujiwekea malengo maishani,
matumizi mazuri ya muda, nidhamu ya hali ya juu ya pesank.
3. Kitabu
hiki kila aliyewahi kukisoma, atakwambia kimempa hamasa isiyomithilika katika
masuala ya utafutaji pesa na maisha kwa ujumla,(Nilishangazwa na mteja mmoja
aliyepiga simu akikita kitabu hicho kwa mara ya pili akidai kopi ya kwanza
imechakaa kuna baadhi ya kurasa hazisomeki vizuri na angependa kuwa nacho kwa
muda mrefu hata ikiwezekana mjukuu wake aje akikute)
4. HESABU
MUHIMU ZAIDI KATIKA BIASHARA ni somo jipya lililoongezwa kwenye kitabu hiki
katika toleo lake jipya ambalo limefanyiwa marekebisho makubwa, somo hili siyo
la kukosa kwani ndilo huwafanya watu wengi kutajirika au kuendelea kubakia
katika hali za kawaida za kiuchumi(average persons).
5. Wengi
waliokinunua husema bei yake hailingani kabisa na yale yaliyoandikwa ndani ya
kitabu, kuna watu waliodiriki hata kusema ingefaa kiuzwe shilingi elfu 12. Lakini
sera na dhamira ya mtunzi wa kitabu hiki tangu mwanzo ilikuwa ni kumfanya
angalao kila Mtanzania anaye ‘struggle’ na maisha akisome.
6. Hakuna
kitu kibaya kinachoweza kuigwa na watu, kitabu hiki kudhihirisha kwamba kimewahamasisha
watu wengi(inspire many peple), ambalo ndilo lililokuwa lengo kuu la mwandishi,
wamejitokeza waandishi wengi chipukizi walioiga maudhui na hata yaliyomo ndani
ya kitabu hiki na kuandika katika blogs na wengine hata kutunga vitabu, kwa
mfano wapo badala ya kuandika mifereji 7 ya pesa wameandika mifereji 8,9 na
hata 10 ya pesa. Hili siyo jambo baya ilimradi tu wameweka ubunifu kidogo, na
hicho ndiyo kitu mwandishi wa kitabu hiki hasa anachosisitiza.
7. Kitabu
hiki unaweza kukipata ukiwa popote pale ndani na nje ya Tanzania. Hapa Dar es
salaam tuma meseji au piga simu utaletewa mpaka pale ulipo kwa shilingi elfu 5
tu. Mikoani tuma jumla shilingi elfu 10 kama upo mkoa wa mbali au shilingi elfu
9 kwa mikoa ya karibu, tuma pia na jina la basi linalofika hapo unapoishi
tutakutumia kitabu. Kama utataka kitabu hicho kwa njia ya e-mail, tuma shilingi
elfu 3 tu pamoja na anuani yako ya e-mail na tutakutumia softcopy au PDF ya
kitabu hicho. Namba za simu ni, 0712
202244 AU 0765 553030 Jina
litakalojitokeza ni; Peter Augustino Tarimo
0 Response to "MAMBO 7 KUHUSU KITABU CHA MIFEREJI 7 YA PESA ULIYOKUWA PENGINE HUJAYAJUA BADO"
Post a Comment