Soko ni kipengele muhimu sana katika mpango
wowote ule wa biashara na ndiyo sehemu inayohitaji utafiti nje ya biashara
zaidi kuliko vipengele vingine. Katika somo hili ndani ya blogu hii MAALUMU YA MICHANGANUO YA BIASHARA, utaweza kufahamu kwa undani namna soko la biashara hii
ya saluni lilivyo, jinsi unavyoweza kukusanya taarifa mbalimbali za soko na unavyotakiwa
kuandika na kuvipanga vipengele vyake vidogo.
Karibu wewe ambaye bado hujajiunga na semina
hii ujiunge kwa kulipa ada yako shilingi, 10,000/= kwenye moja kati ya namba
hizi, 0712 202244 au 0765 553030. Tuma pia kwa njiaya meseji anuani
yako ya barua-pepe (GMAIL) ambayo tutaitumia wakati wa kukutumia masomo kwa
njia za pdf na mp3 pamoja na kukuunganisha na BLOGU YA MASOMO YA SEMINA.
SOMA: Awamu ya pili ya semina.
Kwa washiriki wote walikwishajiunga tangu
awamu ya kwanza ya semina hawatalipa tena kwenye awamu hii, bali wataendelea
kujifunza masomo kama kawaida sambamba na wale wanaojiunga sasa. Na wale
wanaojiunga sasa pia watapata fursa sawasawa na waliyopata waliotangulia kwani
masomo yote yapo katika blogu hiyo.
KARIBU, SEMINA INAENDELEA.
0 Response to "MPANGO WA BIASHARA SALUNI YA KIUME (2) MCHANGANUO WA SOKO"
Post a Comment