Awamu yetu ya tatu ya semina ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara leo hii ndiyo inafika tamati, simaanishi kwamba ndiyo imekwisha la hasha, bali ninachomaanisha ni kwamba sisi kwa upane wetu tumemaliza kazi ya ya kuandaa masomo kwa ajili ya awamu ya pili ya semina hii na kuyaweka katika blogu hii ya “MASOMO YA SEMINA YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA”.(kuingia kwenye blogu hiyo ni kwa wale waliolipa kiingilio tu)
Kazi sasa ni kwa wewe tu ndugu msomaji ikiwa
unahitaji kujifunza masomo haya unakaribishwa kwa mikono miwili uje ujiunge
kupitia namba za simu 0712 202244
au 0765 553030 kwa kulipa
kiingilio au ada ambayo ni shilingi elfu 10 za kitanzania na kisha unapata
fursa ya kusoma masomo yote kuanzia awamu ya kwanza iliyopita pamoja na awamu
nyingine zote zinazofuata mpaka umeelewa kabisa kuandika mpango wa biashara
yeyote ile.
Katika awamu hii ya pili tulikuwa tukichambua
mpango wa biashara ya saluni ya kiume ijulikanayo kama Boys to Men Barber Shop
iliyopo mtaaa wa Agrey Kariakoo jijini Dar es salaam. Tangu juzi tulianza na
vipengele vya Biashara, Huduma, Mikakati, Utekelezaji, Utawala na Nguvukazi.
Jana tukachanganua Soko kwa kina na leo hii tunachambua sehemu ya fedha kwa
mapana kabisa.
Kwa kusoma awamu zote tutakazokuandalia tuna
uhakika utaweza kuandika mpango wa biashara yeyote ile bila wasiwasi, siyo
hivyo tu, pia utaweza kuendesha biashara yako kwa ufanisi wa kiwango cha juu
kabisa kwani mpango wa biashara ni kila hatua mtu unayopitia katika mchakato
mzima wa biashara kuanzia wazo mpaka kupata faida, mpango wa biashara pia
unakuwezesha kufikiria mchakato huo kwa kina kabla ya kuanza kuifanya biashara
yenyewe hivyo kukuzidishia uwezekano wa kufanikiwa katika biashara husika.
Hata ikiwa wewe siyo mpenzi wa kuandika, kwa
kuisoma na kuipitia tu michanganuo hii mbalimbali iliyokwisha andikwa tayari
itakupa uwezo mkubwa wa kufikiria picha kubwa zaidi katika tasnia ya biashara
mbalimbali. Unajifunza biashara jinsi zinavyoendeshwa, makosa mbalimbali
wenzako wanayopitia ambayo wewe hupaswi tena kuja kuyafanya, kwa ufupi una
rahisisha njia.
Usikubali uje ujifunze moja kwa moja kupitia
uzoefu wako mwenyewe ambayo ni njia ngumu na itakayokuchukua muda mwingi, okoa muda
na pesa, kila tatizo au changamoto utakayopitia wapo watu waliokwishazipitia
tayari hata kama siyo hapa Tanzania basi ujue hata ni katika nchi
zilizoendelea.
Jiunge na semina hii kupata vitu vingi kwa
bei hiyohiyo moja, unapata vitu vifuatavyo;
ü Masomo
ya awamu zote za semina zilizopita na zitakazokuja,
ü Vitabu
vya michanganuo ya biashara, cha kiswahili(pdf Michanganuo na Ujasiriamali) na
cha kiingereza kutoka kwa mwandishi maarufu zaidi duniani wa michanganuo (The
most read Business plans Book ever),
ü Templates
au vielezo kwa kiswahili na kwa kiingereza,
ü Mpango
wa biashara ukurasa mmoja kwa wale wasiopenda kuandika kurasa nyingi.
ü Mipango
ya biashara isiyokuwa katika kitabu kama vile ya ufugaji wa kuku wa mayai,
kilimo cha matikiti nk.
ü Michanganuo
mbalimbali katika lugha ya kiingereza.
Vitu vyote hivyo unavipata kwa shilingi
10,000/= tu. Hii ni offa na itakapomalizika kila kitu kitauzwa chenyewe kwa bei
halisi. Nakusihi usichelewe usijekuniambia hukujua. Tuma ada na anuani yako ya
e-mai(GMAIL) kwenye moja ya namba zetu, 0712202244 au
0765 553030 jina hutokea Peter
Augustino Tarimo. Utaunganishwa nab BLOGU YA MASOMO pamoja na kutumiwa masomo
ya pdf & mp3 kupitia email hiyo.
TUPO MBEZI KWA MSUGURI JIRANI NA STENDI
YA DALADALA.
0 Response to "MPANGO WA FEDHA SALOON YA KIUME: BOYS TO MEN BERBER SHOP"
Post a Comment