Siri zako za
mafanikio “keys to success” ni yale mambo ambayo unayapa kipaumbele zaidi
katika biashara yako katika
kuifanya ifanikiwe zaidi kwa
mfano, biashara ya rejareja huwa ina
tabia ya kupenda kushamiri vizuri zaidi katika maeneo yenye watu wengi.
Jambo hili
husababisha watu kusema kuwa siri kubwa ya mafanikio ya biashara ya rejareja ni
“eneo” eneo zuri
mfano stendi ya basi, sokoni n.k
au yaweza kuwa sehemu nzuri
yenye ‘parking’ ya kutosha.
Siri ya mafanikio inaweza pia kuwa bei nafuu, jina la biashara kwa mfano mtu anaponunua kitu kama Redio au TV huangalia majina makubwa mfano sonny, Hitachi nk. au simu ataangalia zile simu zenye majina mfano techno, Samsung galaxy, Nokia nk. Hivyo siri za mafanikio kwa makampuni hayo ni majina yao makubwa waliyojijengea.
Kuwa na kitu
ambacho kitakuwa ndiyo siri yako ya mafanikio, kutakusaidia uelekeze nguvu zako nyingi zaidi na malengo katika jambo/kitu hicho kuhakikisha biashara yako
inafanikiwa.
……………………………………………………………………..
Kwa vitabu vilivyo
na course zote za biashra na ujasiriamali kwa kina tembelea ukurasa huu, SMART BOOKS TANZANIA.
Kama hukuwa
umesoma kitabu chetu cha bure, KANUNI NA SIRI YA KUJIFUNZA ELIMU YA PESA NAMAFANIKIO, Jiunge kwa kubonyeza maandishi hayo
Kwa huduma zetu
nyingine fungua HUDUMA ZETU
Tupo Mbezi Kwa
Msuguri stendi
0712202244 au
0765553030
Self help books
Tanzania
0 Response to "SIRI YA MAFANIKIO YA BIASHARA YAKO(KEY TO SUCCESS) UNAIJUA?"
Post a Comment