Muziki ni moja ya vitu duniani ambavyo haviegemei upande wowote ule kwa kimombo huitwa ‘universal’. Kinachonifanya niseme hivyo ni sababu kwamba wewe unayesoma hapa unaweza ukajiuliza swali, “Hivi Peter na blogu yake hii sasa ameanza kuchoka kuandika na ujasiriamali na elimu ya biashara na badala yake anataka kuhamia kwenye muziki wa injili au gospel?
SOMA: Wimbo mpya wa Jose Chameleon, Tubonge, naupenda sana
Lakini nirudie tena kusema muziki kama ulivyowahi kuwa na
ambavyo utabakia kuwa siku zote ni lugha ya kiulimwengu ambayo haina ubaguzi wa
aina yeyote ile, na ndiyo maana unaeza kukuta mtu hajui kinaijeria kabisa au
kihispaniola lakini utakapokuta akisikiliza muziki kutoka maeneo hayo ya dunia
kwa hisia kali utadhani labda kuna siku moja alishawahi kufika na kujifunza
lugha hizo. Haki ni hiyo hiyo hata katika maeneo mengine kwa mfano, jinsia,
dini, rangi, kabila, madhehebu na hata umri.
SOMA: Nina wa Nyiboma na Pepekalee, nikiukumbuka napata wazimu!
SOMA: Nina wa Nyiboma na Pepekalee, nikiukumbuka napata wazimu!
Ndiyo maana utakuta kwa mfano mwanamuziki kutoka Marekani
anaweza akaingia kirahisi tu Korea ya kaskazini kenda kutumbuiza licha ya uadui
mkubwa uliopo baina ya mataifa hayo. Si hivyo tu hata enzi za vita baridi kati
ya iliyokuwa Usoviet na Marekani, Michael Jackson aliingia Moscow kirahisi
kabisa na kupagawisha mashabiki lukuki waliosahau kabisa tofauti zao za
kiitikadi wakati huo.
Leo hii rasmi nimeanzisha kipengele hiki ambacho kitakuwa
kikinihusu mimi binafsi zaidi nikielezea hisia zangu kimuziki, nadhani kila mtu
anapenda muziki wa aina yake, muziki ninaoupenda mimi siyo lazima na mtu
mwingine aupende lakini pia kutoa hisia zako binafsi siyo vibaya.
SOMA: Muziki ulipokuwa muziki, Katitu boys band na miziki mingine ya Kikamba na Kikuyu, je unakumbuka wapi na lini?
Binafsi kama nilivyotangulia kusema sina mapenzi na mziki wa aina moja tu, napenda miziki mchanganyiko ndiyo maana kama utanifuatilia kwani kipengele hiki siyo lazima kama wewe ni shabiki wa blogu hii ukisome unaweza kuachana nacho na kupita, utaona mara kwa mara kila hisia zangu zitakaponirudisha kwenye muziki fulani nitaandika na kuweka audio hapa au video kama njia ya kujirefresh mwenyewe wakati ninapokuwa nimechoka kwa mfano wazo la nyimbo hii ya Ipo siku wa Goodluck Gozbert limeibuka akilini mwangu usiku wa saa 7 wakati nimechoka kuandika.
SOMA: Professa J: Historia ya muziki wa Bongo fleva, sisi ni wachonga barabara(tingatinga)

Mbali na midundo ya vyombo katika wimbo huu
kunisuuza pia ujumbe wake uliopo kwenye maneno unanigusa na kuniingia moyoni
hasa ninaposikiliza vipande vya mashairi haya, yamegusa karibu kila sekta muhimu za maisha ya leo, umasikini, magojwa, ndoa, biashara, uvumilivu, kudharauliana, waganga wa kienyeji, kumcha Mwenyezi Mungu na hata mambo ya michepuko siyo dili nayo yapo. Una ujumbe wa kutia moyo(Inspirational) kwamba bila kujali ni vikwazo vya aina gani unavyopambana navyo, unapaswa kusonga mbele na ipo siku tu utafanikiwa.
SOMA: Milliano lyrics, Dr. Josee Chameleone: Sikiliza mashairi ya wimbo na video yake.
SOMA: Milliano lyrics, Dr. Josee Chameleone: Sikiliza mashairi ya wimbo na video yake.
Haya hapa mashairi ya wimbo, Ipo siku yangu tu wa Goodluck Gozbert
Ni
mbali Nimetoka,
Tena
ni ajabu kuwa hai maana
Ningeshakufaaga
Ni
mengi nimeona
Tena
ya kuvunja moyo
Labda
ningeshakuacha Mungu
Kama
ni misongo ya mawazo
Magojwa
ma nimepitia, nimezoea
Maumivu
ya kudharauliwa
umasikini
kila siku
Ninajipa
mooyo
Ipo
siku yangu tu
Ipo
si siku
Ipo
siku yangu tu, nami niba niba nibarikiwe x2
Nami
nibarikiwe
Nibarikiwe
Aah nibarikiwe
Nibarikiwe
Nami
nibarikiwe
Nibarikiwe
Nibarikiwe
niba
niba nibarikiwe x2
Aah
Ooh nimeona
mmh
Aiyaya
aiyaya aiyaya
Mmh
Ingawa
kwa sasa wananisema vibaya
Nami
sishangai najua ni ya wanadamu hayoo
Ingawa
sipati na ni kwa muda mrefu
Siachi
kuoomba Mungu si kiziwi
Binadamu
wema ukiwa nacho ooh
Kwa
sasa waniepuka sina rafiki wa dhati
Kama
ni misongo ya mawazo
Magonjwa
ma nimepitia
Nitazoea
Maumivu
ya kudharauliwa
umasikini
kila siku ninajipa moyo
Ipo
siku yangu tu
Ipo si
siku
Ipo
siku yangu tu nami
Niba
niba nibarikiwe x2
Nami
nibarikiwe
Nibarikiwe
aah nibarikiwe
Nibarikiwe
Nami
nibarikiwe
Nibarikiwe
Nibarikiwe
niba
niba nibarikiwe x2
Miaka
imepita
unaombaga mtoto hupati
Vuta
subira maana yeye hachelewi
Ona
biashara imeandamwa mikosi
hupati
usimwache Mungu
Waganga watakuponza
Mpo
kwa ndoa ila imani amani huna
Msimwache
Mungu mchepuko siyo jibu
Umeugua
tumaini la kupona hakuna
usimtazame
mwanadamu
siku
yako imekaribia
hey
najua
ayaya najua ayaya
.........................................................................................................................
Je,
ungependa kudownload mashairi ya wimbo huu wa Goodluck Gozbert kwa ajili ya
kuprint au kuhifadhi usome baadae?
Maelezo zaidi kuhusiana na vitabu hivi na vinginevyo,
tembelea ukurasa wa SMARTBOOKS TANZANIA, vitabu muashara kwenye smart phone yako.
0 Response to "IPO SIKU YANGU TU WA GOODLUCK GOZBERT NI MOJA YA NGOMA NIPENDAZO MIMI"
Post a Comment