Kwenye group la Whatsapp la MICHANGANUO ONLINE, ambalo
tunakuwa na mafunzo ya semina kila siku usiku saa 3 mpaka saa 4, baada ya
kuanza wiki iliyopita washiriki waliomba wapate kwanza muda wa kupitia materials(masomo)
waliyopewa mara ya kwanza pamoja na vitabu kwani yalikuwa mengi mno halafu
ndipo tuendelee na utaratibu wetu wa kawaida wa kusoma masomo kila siku. Masomo
makuu tunayojifunza kila siku ni haya hapa chini;
1) Jinsi ya kuandika mpango wa biashara
hatua kwa hatua mpaka umeelewa
2) Biashara bunifu za kipekee zinazolipa
haraka zaidi.
3) Jinsi ya kuongeza mzunguko wako wa fedha
na elimu ya fedha kwa ujumla wake.
Baada ya kitambo hicho kidogo kupita, leo
tena tumeanza utaratibu wetu wa kawaida wa kusoma masomo kila siku. Somo letu
la leo linahusu mchanganuo bunifu wa mwezi wa kwanza ambao ulikuwa ni biashara
ya ufugaji wa kuku wa mayai ya kienyeji na somo linaendelea kutoka lilipoishia,
Leo nitaeleza kwa kina baada ya kupata wazo hilo akilini jinsi nilivyofanya
utafiti wa maswala mbalimbali mpaka nikamaliza kabla sijaanza kuandika
mchanganuo wenyewe.
Nitaeleza njia zote nilizotumia katika
utafiti huo, maeneo na watu niliowafuata kuonana nao ana kwa ana, majibu
tofautitofauti niliyoyapata, uchanganuzi wa majibu hayo ni yapi niyatumie na ni
yapi niache nk. Nitaeleza pia njia nilizotumia ili kupata mbinu za kipekee
zilizotumika katika mradi huu kusudi uweze kuleta faida, niliangalia ni vitu
gani na kutoka wapi?
Nakukaribisha sana leo uje ili tuweze
kujifunza pamoja.
Kiingilio katika group hili(masomo haya) ni
shilingi elfu 10 tu, na utasoma muda wote mpaka masomo yaliyopita. Mbali na
masomo hayo ya kila siku pia mara unapolipia tu, tunakutumia zana zifuatazo(on the spot)
1. Kitabbu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI katika lugha ya Kiswahili.
2. Masomo
ya msingi 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
3. Templatets(VIELEZO)
vya kuandika mpango wa biashara unavyoweza kutumia kwa kufuatisha ukajaza tu
taarifa zako na kukamilisha mpango wako haraka na kwa muda mfupi.
4. Baadhi
ya mipango ya biashara isiyokuwa ndani ya kitabu.
5. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani cha michanganuo ya biashara “How to write a business plan”
ndiyo kinachotumika katika vyuo vingi vikubwa vya biashara duniani.
6. Somo
muhimu la mzunguko wa fedha na jinsi ya kuwa na nidhamu ya hali ya juu kifedha.
Siyo lazima uwe na WHATSAPP ndipo uweze
kusoma kozi hizi, unaweza pia kusoma kupitia EMAIL yako masomo tunakutumia kwa
email na katika blogu ya private inayoweza kufikiwa na washiriki tu. Watsapp ni
njia ya kurahisisha tu kwa wale wasiotaka kufungua fungua email zao au
kutembelea blogu kila mara.
Namba
za malipo ni;
0712202244 au
0765553030
Jina hutokea, Peter Augustino Tarimo.
WHATSAPP tumia namba 0765553030, tuma ujumbe wa “NIUNGANISHE
GROUP LA MICHANGANUO ONLINE”
Tuma pia na anuani yako ya GMAIL kwa ajili ya kuunganishwa na
blogu ya private ya masomo.
0 Response to "NILIVYOANDIKA MCHANGANUO BUNIFU WA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI, BIASHARA 12 ZA KIPEKEE 2018 SEHEMU-2"
Post a Comment