BIASHARA 4 HUWEZI KABISA KUDHANIA KAMA ZINA MCHANGO MKUBWA WEWE KUFANIKIWA KIFEDHA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

BIASHARA 4 HUWEZI KABISA KUDHANIA KAMA ZINA MCHANGO MKUBWA WEWE KUFANIKIWA KIFEDHA

kufanya biashara ndogondogo nyumbani
Ni shughuli zinazoonekana kuwa za kawaida sana lakini siri yake wanaijua matajiri na watu wote waliofanikiwa kichumi, wao huzijali sana ndiyo maana wamefanikiwa kufika pale walipo huku watu wa kawaida wakihangaika kusaka usiku na mchana siri za mafanikio na utajiri ni kitu gani.

SOMA: Biashara ya mtaji mdogo isiyojulikana na watu wengi bado

Nyumbani ni mahali ambapo, binadamu tunatumia muda wetu mwingi kuliko sehemu nyingine yeyote ile katika maisha yetu. Unaweza ukasema sasa mbona unashinda kazini masaa mengi kuliko vile unavyoshinda nyumbani lakini nikukumbushe tu kwamba ule muda wa usiku, likizo na yale masaa ya kila asubuhi na jioni unapotoka kazini ukiyajumlisha yote ni zaidi ya muda unaoshinda kazini, isitoshe pia kuna kustaafu ni lazima urudi home na pale utakaa muda mrefu. Hivyo nyumbani ni nyumbani panatakiwa upajengee misingi inayostahili.


Mada yangu leo hasa siyo ya kuonyesha wingi wa masaa tunayoishi nyumbani hapana, bali ninachotaka kusema leo ni juu ya shughuli za kuingiza pesa zinazoweza kufanyika mazingira ya nyumbani na zikaweza kuongeza mzunguko wa mtu wa fedha. Uzuri wa nyumbani ni kuwa hata wakati wewe mwenyewe haupo lakini kunabaki mtu aidha msaidizi wa kazi au yeyote yule ambaye ikiwa kuna shughuli zozote zile ndogondogo anaweza akazisimamia bila shida.

Kwahiyo nyumbani iwe umepanga au unaishi kwako ni jambo jema sana endapo utapafanya kuwa mahali panapoingiza pesa badala ya kutoa tu. Matumizi mbalimbali ya nyumbani hutegemea kipato ulichokuwa nacho kama ajira au biashara unayoifanya. Kazi na biashara zinatofautiana baina ya mtu na mtu mwingine. Kwa mfano kuna ajira na biashara kubwa zilizokuwa na uhakika na pia zipo ajira na biashara ndogondgo ambazo haziwezi zikatabirika sana kwani wakati wowote tuchukulie mfano kipindi hiki cha janga la corona, zinaweza zikatetereka au kusimama ghafla halafu yule anayezitegemea akajikuta njia panda asijue la kufanya.


Lakini tayari ukiwa na uzoefu na miradi kama hii inaweza ikakuokoa katika nyakati ngumu na za kuvunja moyo namna hii. Vilevile shughuli hizi zina uwezo mkubwa wa kuongeza mzunguko wa fedha nyumbani na hata kwenye biashara kwani ikiwa unafanya biashara hautachukua tena kiasi kikubwa cha fedha kama gawio kutoka katika biashara na hivyo kuwa na mzunguko chanya wa fedha.


Shughuli au miradi midogomidogo maarufu ya nyumbani mtu anayoweza akaanzisha ni hii ifuatayo, nitaitolea na maelezo.......Somo bado litaendelea.......

............................................

Somo hili ndilo litakalofundishwa leo hii tarehe 9 June 2023 usiku saa 3 - 4

Ikiwa umechelewa na kusoma ujumbe huu somo limeshapita, usijali, kwani unapojiunga masomo yote yaliyopita tunakutumia kwa email/wasap

Kiingilio katika darasa hili ni shilingi Elfu 10 tu unapata uanachama  mwaka mzima pamoja na kutumiwa papo hapo OFFA yetu ya vitu 12 mchanganyiko wa vitabu na michanganuo ya biashara. 

Hii offa ni ya muda tu, idadi fulani ya watu ikitimia itamalizika na kila kitu kuuzwa chenyewe. Siyo lazima uwe unatumia WHATSAPP  kwani masomo tunatuma pia kwa njia ya email 


Kujiunga na masomo haya lipia kiingilio shilingi elfu 10 kupitia namba zetu za simu, 0712202244  au  0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo. 

Kisha tuma ujumbe huu, NIUNGANISHE NA GROUP LA MASOMO PAMOJA NA OFFA YA VITU 12". Utaunganishwa mara moja na kutumiwa kila kitu. 


VITU HIVYO 12 VYA OFFA NI HIVI VIFUATAVYO;-

                 1.      COURSE/SEMINA: (compiled complete course) ya Jinsi ya kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili

                 2.       KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu za BIASHARA, jinsi ya kuandaa michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika kila kitu.kwa kiswahili

                 3.      KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili

                 4.      KITABU: Siri za upishi wa chapati laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili

                 5.       KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili

                 6.       KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ni maarufu sana duniani na ndio hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza

                 7.       MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini Broilers - kwa kiswahili

                 8.      MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza

                 9.      MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za saruji- kwa kiswahili

              10.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili

              11.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza

              12.    MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili

              13.    Kuunganishwa Group la masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka hatukuunganishi)


Somo hii limeandaliwa na:

Peter Augustino Tarimo

Mtaalamu wa Michanganuo ya biashara aina zote

Phone/Watsap: 0765553030 au 0712202244

0 Response to "BIASHARA 4 HUWEZI KABISA KUDHANIA KAMA ZINA MCHANGO MKUBWA WEWE KUFANIKIWA KIFEDHA"

Post a Comment