Awamu iliyopita katika GROUP LA WHATSAPP LA MICHANGANUO
ONLINE tulikuwa na mfululizo wa masomo ya michanganuo yaliyokuwa yakisema, “HATUA
KWA HATUA NILIVYOANDIKA MCHANGANUO WA KUKU WA MAYAI YA KIENYEJI” Baada ya
kumaliza awamu hiyo, kwa sasa tunaingia awamu nyigine tena mpya, “Naanza hatua
kwa hatua kuandika mchanganuo wa biashara ya ufugaji wa kuku wa
nyama(BROILERS).” Jina la mradi huo ni, KEVI QUALITY POULTRY
Awamu hiyo itaanza leo katika Group, na tofauti na awamu
iliyotangulia hii tunaandika hatua kwa hatua, siyo tena ‘jinsi nilivyoandika’,
maana yake ni kwamba ndiyo tunaandika mchanganuo ambao bado haukuwa umeandikwa
bado. Mchanganuo huo wa kuku wa nyama hata hivyo Sura inayohusiana na fedha
ilikuwa imekwisha andikwa(MAKISIO YA FEDHA) na baadhi ya watu wakiwemo
wanagroup walikuwa tayari wameshapata makisio hayo. Hivyo tunachofanya sasa ni
kuandika hatua kwa hatua Sura na sehemu nyingine zote zilizobakia.
Kwenye kundi la WHATSAPP LA MICHANGANUO ONLINE huwa
tunakuwa na masomo ya kila siku kuhusiana na MICHANGANUO YA BIASHARA na
MZUNGUKO WA FEDHA kuanzia saa 3 mpaka saa 4 usiku. Katika Group pia kuna watoa
masomo wengine mbalimbali wanaofundisha mambo mbalimbali ya ujasiriamali mbali
na Admin wa group hili na vile vile
mshiriki yeyote yule mwenye mchango au somo lolote la ujasiriamali analotaka
kushea na wanagroup wengine anaruhusiwa kufanya hivyo bila kipingamizi. Group
hili lina wadau wengi katika sekta ya ufugaji wa kuku hivyo kwa aliye na
interest na fani hii hapa ndiyo mahali pake.
SOMA: Kilichokuwa nyuma ya pazia ufugaji wa kuku wa kienyeji.
SOMA: Kilichokuwa nyuma ya pazia ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Kujiunga na GROUP hili ada ni shilingi elfu 10, na
unapata uanachama wa kudumu bila gharama zozote za ziada. Pamoja na
kuunganishwa na group lakini pia unapewa muda huohuo ulipojiunga ofa ya vitu
mbalimbali vyenye mafunzo ya hali ya juu vifuatavyo;
1. Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili
2. Kifurushi
maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)
3. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza,
ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.
4. Kuunganishwa
na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.
5. Vielezo(Templates)
za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.
6. Masomo
mengine yote yaliyopita katika group la whatsapp.
7. Mfumo
wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM)
unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake
pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
8. Somo
muhimu sana la mzunguko wa fedha.
Kwa mawasiliano au ukitaka kujiunga na mpango huu tumia
namba zifuatazo;
SIMU: 0712202244, 0765553030
WHATSAPP :
0765553030
JINA: Peter Augustino Tarimo
0 Response to "NAANZA HATUA KWA HATUA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU WA NYAMA."
Post a Comment