Katika somo la leo ndani ya Group la Whatsap
la MICHANGANUO ONLINE, BLOGU YA PRIVATE YA MICHANGANUO na KUPITIA EMAIL,
tutajifunza somo hili ikiwa kwanza ndio robo ya mwaka huu toka uanze. Tathmini
yako ikoje? na ni vitu gani wale
wanaofanikiwa huwa wanavitumia vinavyowafanya wasitupe malengo yao mapema tu
kabla hata ya JUNE kufika. Somo lina dondoo 5 muhimu sana ambazo hakuna lengo
lolote lililokuwa na jeuri ya kuzishinda.
Kumbe uwekaji wa malengo hauna matatizo bali
matatizo huja kuibuka njiani na kuanza kukutatiza mpaka umeachana na malengo
yako kabisa. Ni wakati sahihi sasa kumbaini adui wa malengo yako kabla
hajafanikiwa kuyatafuna yote.
Siyo lazima uwe na WHATSAPP ndiyo uweze
kupata masomo haya, ukiwa na email pia
inatosha kwani pamoja na masomo kuwekwa katika blogu maalumu ya private lakini
pia ukitaka tunakutumia inbox kwenye email yako kila kitu.
Kiingilio ni shilingi elfu 10, ambazo hulipwa
kupitia simu ya mkononi kwa namba, 0712202244
au 0765553030 jina Peter Augustino Tarimo. Namba ya whatsapp
ni 0765553030.
Pamoja na kupata masomo haya kila siku usiku
saa 3, lakini pia punde unapokuwa tu umelipia hivi, tunakutumia softcopy za
vitu mbalimbali na vitabu kama ifuatavyo;
1. Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.
2. Masomo
11 ya semina kamili ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
3. Kifurushi
maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)
4. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza,
ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.
5. Kuunganishwa
na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.
6. Vielezo(Templates)
za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.
7. Masomo
mengine yote yaliyopita katika group la whatsapp.
8. Mfumo
wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM)
unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake
pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
9. Somo
muhimu sana la mzunguko wa fedha.
10. Ukurasa
mmoja wa mchanganuo.
0 Response to "NI ROBO YA MWAKA SASA, BADO UPO KWENYE MSTARI WA MALENGO ULIYOJIWEKEA JANUARI?"
Post a Comment