Zipo stadi nyingi nzuri za maisha mtu unazoweza ukajifunza
aidha vyuoni, mashuleni au hata katika uzoefu wa maisha ya kawaida ambazo baada
ya kumaliza mafunzo utahitajika ama uajiriwe au uwekeze fedha kwenye biashara
ndipo uweze weze kusema sasa nimepata njia ya kutengeneza pesa.
Lakini kuna stadi moja tu ya kipekee sana ambayo unaweza
kuiita ndiyo mama wa stadi nyingine zote duniani ambayo unapojifunza inakupa
uwezo mkubwa wa kuingiza pesa yenyewe pasipo hata kuhitaji uwekezaji kutoka
pembeni kama vile kuwekeza kwenye hisa au kuwekeza kwenye kilimo
Stadi nyingine zote za maisha kwa mfano ufundi wa vitu
mbalimbali, utabibu, ujuzi wa kupika, utaalamu wa kompyuta, ufundi magari,
utunzaji wa mahesabu, useremala, uashi, uhandisi wa mitambo, udobi, ufundi
viatu, ufundi cherehani na kila aina ya stadi za maisha unazoweza kuzitaja hapa
zitategemea sana stadi hii maalumu kwa kiasi kikubwa hivyo hata ikiwa unasomea
stadi hizi mbalimbali nilizozitaja hapo juu, ni vizuri pia ukahakikisha na
stadi hii ya kipekee unakuwa nayo mkononi kama silaha ya kuhakikisha
unafanikiwa kwenye kile utakachokwenda kukifanya kwa kutumia stadi uliyosomea.
SOMA: Biashara 7 nzuri za kufanya zitakazokuingizia pesa hata ukiwa umelala.
SOMA: Biashara 7 nzuri za kufanya zitakazokuingizia pesa hata ukiwa umelala.
Stadi hiyo leo katika GROUP letu la Whatsapp la MICHANGANUO ONLINE ndiyo somo
tunalokwenda kujifunza. Somo litaanza saa 3 usiku mpaka 4, na kiingilio ni sh. Elfu
10 tu ambayo ni ada ya "maisha", mshiriki hatalipa tena
malipo yeyote yale ya ziada mpaka mwishoni mwa mwaka huu.
Group linatarajia kuwepo hewani kwa mwaka wote huu wa 2020 . Masomo ni kila siku ambapo tunakuwa na mchanganyiko wa masomo yenye maudhui ya aina mbili, 1.MICHANGANUO YA BIASHARA na 2. MZUNGUKO WA FEDHA. Kauli mbiu yetu ya mwaka huu ni, Tanzania ya viwanda 2020 inawezekana, timiza wajibu wako (The 2020 Tanzania Industrial Revolution is Possible, Play your Part ! ) wakati ile ya mwaka jana ilikuwa ni “BORESHA MZUNGUKO WAKO WA FEDHA UTIMIZE MALENGO YAKO”
Hivyo masomo yetu yote yanalenga kutimiza kaulimbiu hizi kwani imethibitika kuwa malengo mengi licha ya sababu nyingine lakini ukata au ukosefu wa pesa na mipango isiyokuwa imara ndio chanzo kikubwa sana cha kuzimika kwa ndoto za watu wengi.

Mtu anawaza kuanzisha genge la matunda na mbogamboga au kiwanda kidogo cha juisi ya matunda lakini anakosa hata elfu 20 ya kuanzia. Muda unazidi kupita hana hela mwishowe
na ndoto yenyewe inazimika kabla hata hajaitimiza.
Makala hizi zitakwenda kuamsha akili zetu ziweze kufanya kazi vizuri na kuweza kuona vyanzo vya mitaji ambavyo kwa hali ya kawaida inakuwa vigumu mtu kuviona. Simaanishi kwanba kuna vyanzo vya fedha vya kimiujiza hapana, bali namaanisha zile tabia za kijasiriamali ambazo watu wengi walioweza kufanikiwa wamethibitika kuzitumia njia hizo.

Unapoijuiunga na magroup yetu, licha ya kushiriki masomo ya
kila siku pia tunakutumia muda huohuo softcopy za vitu mbalimbali vifuatavyo;
1. Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI -kwa
kiswahili
2. Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha Usagishaji unga safi na salama wa dona (USADO MILLING) -kwa kiswahili
2. Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha Usagishaji unga safi na salama wa dona (USADO MILLING) -kwa kiswahili
3. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza,
ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.-kwa
kiingereza
4. Kifurushi
maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)-kwa kiswahili
5. Mchanganuo
kamili wa kilimo cha Matikiti maji(KIBADA WATERMELON BUSINESS PLAN) -kwa kiswahili
6. Mchanganuo
wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) -kwa
Kiswahili & kiingereza
Ikiwa
hutumii WHATSAP wala TELEGRAM, masomo utapata kama kawaida kupitia anuani yako ya EMAIL.
Tuma ada yako sh. elfu 10 kupitia moja kati namba zetu hapo chini kisha ujumbe usemao; "NIUNGANISHE NA MAGROUP YA MICHANGANUO-ONLINE2020 PAMOJA NA OFFA YA VITU 6"
Kufuatilia Semina bila malipo inayohusu jinsi ya kuandika mchanganuo wa biashara ya kiwanda cha unga wa dona hatua kwa hatua bofya hapa

WHATSAPP/SIMU 0765553030
SIMU: 0712202244
JINA: Peter Augustino Tarimo
0 Response to "STADI MOJA YA MAISHA ITAKAYOKUWEZESHA KUINGIZA PESA BILA KUWEKEZA CHOCHOTE"
Post a Comment