Kuanzia sura ya kwanza ya kitabu hiki mpaka sura ya 8
tulishachapisha katika blogu hii ya jifunzeujasiriamali
na mtu muda wowote anaweza kuzisoma sura hizo free, bila malipo yeyote yale.
Sababu ya kuhamishia huko sura zilizobakia ni ili wasomaji angalao wachangie
gharama kidogo za uendeshaji kwani kazi hii ya kukitafsiri haikuwa kazi rahisi
na imegharimu muda mwingi na hata wakati mwingine fedha, hivyo tunawaomba sana
radhi wasomaji wetu kwa usumbufu utakaojitokeza, lakini pia niseme kwamba kwa
gharama hizi msomaji atapata fursa ya kunufaika na masomo mengine mengi
yakiwamo kozi nzima ya kuandika mpango wa biashara, vitabu na masomo ya kila
siku ndani ya group hilo.
Ada ya kujiunga na GROUP inalipwa kupitia namba za simmu,
0712202244 au 0765553030
jina hutokea Peter Augustino Tarimo. Baada ya malipo tujulishe na ikiwa
hutumii WHATSAPP hamna shida kwani tunatuma pia kila kitu kupitia email.
Vitu vingine msomaji atakavyonufaika navyo mara tu baada
ya kulipa kiingilio cha sh. Elfu 10 ni hivi hapa chini;
1. Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.
2. Masomo
11 ya semina kamili ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
3. Kifurushi
maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)
4. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza,
ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.
5. Kuunganishwa
na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.
6. Vielezo(Templates)
za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.
7. Masomo
yote yaliyopita katika group la whatsapp la MICHANGANUO NA MZUNGUKO WA FEDHA.
8. Mfumo
mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM)
unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake
pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
9. Somo
muhimu sana la mzunguko wa fedha.
10. Ukurasa
mmoja wa mchanganuo.
Ukitaka vitabu pia vinapatikana, tembelea; Smart BooksTanzania.
0 Response to "KWA WAPENZI WA TAFSIRI YA KITABU MAARUFU CHA THINK & GROW RICH(FIKIRI UTAJIRIKE)"
Post a Comment