Hii nimewahi kuiexperience mwenyewe binafsi na ni hivi karibuni tu nimekuja kulithibitisha hili katika shughuli zangu za biashara. Ni rahisi sana mtu kuwa na hamasa kubwa wakati biashara au mambo yako yanapokuwa yakienda vizuri, maana yake ni kipindi kile ambacho pesa inaingia vizuri na mzunguko wako wa fedha ni chanya muda wote.
Kipindi kama hicho unaweza kufanya jambo lolote kuwa
rahisi kutokana na msukumo mkubwa
unaokuwa nao kutoka katika nafsi yako. Lakini kwa upande mwingine wa shilingi,
utakubaliana na mimi kwamba kuendelea kuwa na hamasa kubwa na moyo wa
kutokukata tamaa(mtazamo chanya) kipindi kama hicho ambapo mambo ni magumu na
mtiririko wako wa fedha upo chini ni jambo gumu sana linalohitaji nguvu za
ziada.
Kama nilivyotangulia kusema kwamba jambo hili nina uzoefu
nalo katika shughuli na biashara zangu ninazozifanya ikiwemo hii ya uandishi,
kuna kipindi hutokea mambo hasa biashara kutokwenda vizuri hata kidogo, huoni pesa na hata wakati
mwingine unakuwa ukikabiliwa na madeni kila kona. Unahisi kukata tamaa kabisa
kiasi cha kujiuliza ikiwa biashara unayoifanya ni sahihi au siyo sahihi.
Mpenzi msomaji somo hili tunakwenda kujifunza leo katika Darasa letu la WHATSAPP ndani ya Group la MICHANGANUO-ONLINE kuanzia saa 3 mpaka saa 4 usiku. Kiingilio ni shilingi elfu 10 na Masomo ni kila siku.
SIMU: 0712202244
WHATSAPP: 0765553030.
Unapojiunga unapewa masomo na semina zote zilizopita. Badhi ya vitu mbalimbali tunavyotuma ni pamoja na hivi vifuatavyo;
1. Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.
2. Masomo
11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
3. Kifurushi
maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)
4. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza,
ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.
5. Mfululizo
wa Tafsiri ya kitabu mashuhuri zaidi cha pesa, FIKIRI UTAJIRIKE
6. Kuunganishwa
na blogu ya kulipia ya michanganuo bure.
7. Vielezo(Templates)
za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.
8. Masomo
yote yaliyopita katika group kuhusu MICHANGANUO NA MZUNGUKO WA FEDHA.
9. Mfumo
mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM)
unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake
pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
10. Somo
muhimu sana la mzunguko wa fedha.
11. Ukurasa
mmoja wa mchanganuo.
0 Response to "MAMBO MAZURI HUJA PALE UNAPOFANYA KAZI KWA BIDII HUKU UKIWA HAUNA MATARAJIO MAKUBWA SANA."
Post a Comment