Biashara mpya nyingi zinazoanza mara kwa mara huambatana na sifa ya uendeshwaji na mtu mmoja(sole proprietorship) huku bajeti zake zikiwa finyu sana kiasi ambacho wamiliki wake inawawia vigumu sana kubalansi mapato na matumizi yake. Kuna wakati faida inayoingia huwa kidogo kuliko ilivyotarajiwa na hii hubadilikabadilika kila mwezi na kusababisha kuwepo na siku nzuri na siku mbaya.
Hata hivyo kwa biashara inayoanza siku mbaya ndiyo huwa nyingi zaidi kuliko siku nzuri, hali hii husababisha pia usimamizi wa fedha kuwa mgumu sana na siri pekee itakayomwezesha mjasiriamali kuishinda hali hii ni yeye kuanza kubadilika kimtazamo hasa katika matumizi ya kila siku ya fedha na kuanza kujiwekea akiba au kurudisha faida katika mzunguko wa biashara jambo ambalo ndiyo msingi wa maendeleo ya biashara yeyote ile nzuri.
Kuweka akiba au utunzaji mzuri wa fedha hakumaanishi kubana matumizi kupita kiasi hapana, bali maana yake ni kutumia kwa uangalifu fedha tu kwenye vile vitu muhimu zaidi, hili halipo tu katika biashara bali na hata katika upande wa maisha binafsi ya mtu ya kila siku. Kuna wakati hata itakulazimu kuzitoa mhanga pesa zako mwenyewe za mfukoni kwenye biashara yako ili tu iweze kuvuka pale mahali ilipo. Jambo muhimu hapa ni kuchagua kwa busara ni wapi utumie pesa na wala siyo suala la kujizuia kutumia pesa kabisa.
Ukiwa kama mjasiriamali uliyejivika kofia zote mwenyewe unapaswa kufikiria kuhusu kubajeti fedha zako, ni wapi uzitumie rasilimali chache ulizokuwa nazo na pia ni vipi uutumie muda wako kwa ufanisi zaidi. Zifuatazo hapa chini ni changamoto kubwa 3 biashara mpya inazokumbana nazo, na baadae tutaona namna mjasiriamali unavyoweza ukakabiliana na changamoto hizo hadi kuzishinda na biashara yako kusonga mbele kifua mbele…….
..............................................................
..............................................................
Mpenzi msomaji, makala hii nzima iliyokamilika tutajifunza leo hii usiku Jumatatu ya tarehe 05/6/2023 katika group la Whatsap la Michanganuo-online. Kiingilio ni shilingi elfu 10 tu na baada ya kulipa nakuunganisha na group pamoja na kukutumia muda huohuo OFFA ya vitu 12, (itabu na michanganuo ya biashara mbalimbali) pamoja na masomo yote ya fedha yaliyopita kwenye group.
Namba za kulipia ni 0712202244 au 0765553030
Jina Peter Augustino Tarimo
OFFA HIYO YA VITU 12 NI HII HAPA CHINI;
1.
COURSE/SEMINA: (compiled
complete course) ya Jinsi ya
kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa
kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili
2.
KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu
za BIASHARA, jinsi ya kuandaa
michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika
kila kitu. – kwa kiswahili
3.
KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri
Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili
4.
KITABU: Siri za upishi wa chapati
laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili
5.
KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili
6.
KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ni maarufu sana duniani na ndio
hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza
7.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini
Broilers - kwa
kiswahili
8.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza
9.
MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za
saruji- kwa
kiswahili
10. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili
11. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza
12. MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili
13. Kuunganishwa Group la
masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka
hatukuunganishi)
Somo
hii limeandaliwa na:
Peter
Augustino Tarimo
Mtaalamu
wa Michanganuo ya biashara aina zote
Phone/Watsap:
0765553030 au 0712202244
Related Posts :
SAIKOLOJIA YA PESA NA KANUNI 10 ZA KUFUATA ILI UWE MTU ULIYEFANIKIWA KIMAISHAKwanza hebu tufahamu maana
ya neno lenyewe Saikolojia ni kitu gani, Saikolojia ni elimu ya akili au nafsi.
Kwahiyo saikolojia ya fedha ni el… Read More...
MBINU NA MIKAKATI YA KUIKWAMUA BIASHARA YAKO KATIKA HALI NGUMU KIPESA ILI KUFANIKIWA
Habari
za saa hizi mdau, karibu kwenye somo hili linalohusu mikakati mbalimbali na mbinu
Mjasiriamali anazoweza akazitumia katika kuikwamu… Read More...
KWANINI MIKOPO YA RIBA MITAANI, MICHEZO YA UPATU NA BAADHI YA VICOBA SI SALAMA KUJIUNGA?Biashara ya kukopesha pesa
ni moja kati ya biashara kongwe kabisa duniani, miaka kwa miaka binadamu
wamekuwa wakiazimana pesa kwa malengo mb… Read More...
KUTIMIZA NDOTO NA MALENGO YAKO MAISHANI, HIZI HAPA HATUA 3 ZA KUTENGENEZA BAJETI YA JAMBO LOLOTE
Katika maisha watu hujiwekea malengo
mbalimbali kama vile, kufunga harusi, kwenda kusomea kozi fulani, kununua
kiwanja, kununua gari, kuje… Read More...
JINSI YA KUIFANYA SIKU YAKO IWE NA MASAA 25 BADALA YA 24
Mpenzi
msomaji wa blogu hii, Heri ya mwaka mpya wa 2024Bila
shaka utakuwa na shauku ya kutaka kufahamu ni mbinu zipi hizo mtu anazoweza
ak… Read More...
0 Response to "MBINU ZA KUBAJETI PESA KIDOGO KWENYE BIASHARA MPYA INAYOANZA & CHANGAMOTO KUBWA 3"
Post a Comment