Hebu rudisha taswira yako nyuma ukitafakari watu wote ulioshuhudia mafanikio yao hasa ya kiuchumi walioanzia chini kabisa au kwa maneno mengine walioanzia sifuri mpaka kuja kuitwa matajiri. Naamini hutapata shida sana kuwabaini kutokana na sababu kwamba kwanza waliokuwa na sifa hiyo niliyoitaja kwenye jamii wapo wachache na pia hao wachache waliopo kwa kuwa wanachukuliwa kama kioo cha jamii kila mtu kupenda kuwazungumzia wamekuwa mifano(spotlight) mijini na hata vijijini wanakoishi.
SOMA: Njia 7 za kubana matumizi bila kujali bila kuhisi unajitesa kuboresha bajeti yako.
Katika maisha haya tunayoishi, watu masikini wapo wa aina
mbili, kundi la kwanza ni wale masikini wanaoishi na umasikini huku
wakikubaliana nao kama ‘zawadi’
waliyopewa na Mungu, lakini kundi la pili la masikini ni lile ambalo maisha yao
kila siku wanapigana kuhakikisha siku moja wanajinasua na umasikini waliokuwa
nao, hawaamini kabisa kama umasikini wameumbiwa wao. Hudiriki hata kuzidisha
kwa makusudi makali ya umasikini walio nao katika kipindi fulani cha maisha yao
ilimradi tu wameondokana nao siku moja na hapo sasa ndipo pointi yetu ya somo
la leo ilipo.
Umasikini maana yake ni ile hali ya mtu kuishi kwa
kutegemea kipato kinachotokana na nguvu au muda wake tu. Hayupo huru kufanya
atakalo. Ili mtu aweze kuondokana na umasikini inampasa afanye vitu viwili
vikubwa. Cha kwanza kabisa……..............
.............................................................
Ndugu msomaji somo hili tutajifunza lote katika group la masomo ya kila siku la Michanganuo-online ni mfululizo wa masomo 30 ya kufunga mwaka huu wa 2018. Kujiunga na masomo haya ambapo utapata pia fursa ya kutumiwa masomo mengine yote na semina tulizojifunza tangu January 2018 lipa kiingilio sh. elfu 10
Malipo ni kupitia namba zetu 0765553030 au 0712202244 na baada ya kulipa tuma ujumbe wa kawaida au wasap ukisema "NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUO" Utaunganishwa papo hapo na kutumiwa kila kitu kupitia Wasap au Email yako kama hutumii wasap
0 Response to "KWANINI KUISHI KIMASIKINI UKIWA NA MALENGO YA PESA KUNALIPA HARAKA ZAIDI KULIKO KUISHI KITAJIRI?"
Post a Comment