SOMA: Je wajua unaweza kumiliki kiwanja au nyumba bila kuwa na senti 5 mfukoni?
Kujijengea au Kujilimbikizia rasilimali maana
yake ni kitendo cha kuwekeza fedha kwenye vitegauchumi vilivyokuwa na uwezo wa
kuzalisha pesa kwa muda mrefu ujao. Kwahiyo pointi kubwa hapa ni kununua
rasilimali na kuziweka au kuzilimbikiza na siyo kununua na kuuza. Tunaponunua
rasilimali maana yake tunawekeza fedha zetu lakini hiyo haimaanishi kuwa
tunajijengea rasilimali kwani ni watu wengi wanaponunua rasilimali hawakai nazo
huziuza na kutumia pesa hizo kwa mambo mengine mbali na uwekezaji.
......................................
Ndugu msomaji somo hili zima litatolewa ndani ya group la masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo ya biashara. Kiingilio ni sh. elfu 10 na unapata pia masomo yote ya toka mwezi Januari kupitia wasap au email yako. Unapata pia kuwa mwanachama wa kudumu wa group hilo.
Kulipia tumia namba 0765553030 au 0712202244 kisha tuma ujumbe, " Niunganishe na Group la Michanganuo".
ASANTE NA KARIBU!
Peter A. Tarimo
0 Response to "MAAJABU YA KUNUNUA NA KUWEKA ASSETI KIDOGOKIDOGO KAMA NJIA YA KUTAJIRIKA KWA PESA KIDOGO"
Post a Comment