Walevi sugu wa pombe na Mateja wanaobwia unga wanayo
dunia yao ndogo waliyoizoea na huwa hawapendi kuondoka katika dunia hiyo
kiurahisi. Umasikini nao ni hivyohivyo, mtu kujitoa katika ukanda wake wa
faraja(comfort zone) aliouzoea ni kazi ngumu kwelikweli. Huona maisha ya
umasikini ni ya kawaida tu na wala siyo jambo la mpito kwake.
SOMA: Njia 6 za kuondoa woga na stress za pesa lkatika maisha yako.
SOMA: Njia 6 za kuondoa woga na stress za pesa lkatika maisha yako.
Akiwa ndani ya ulimwengu wake huo mdogo amekunja nne huku
akijiliwaza, hawezi kutambua jinsi maisha nje yanavyobadilika haraka, fursa
zikija na kuondoka pamoja na maisha tofauti kabisa yakiendelea nje ya dunia
yake hiyo ndogo.
Kama ilivyo kwa Mateja kupelekwa Soba house, masikini
naye pia anatakiwa kuchukua hatua sawasawa na hizo au tuseme zinazofanana na
hizo ili aweze kupona ugojwa wa Umasikini.
SOMA: Tukio hili limenifunza kwamba hofu haijawahi kutatua tatizo la pesa kwa mtu yeyote.
SOMA: Tukio hili limenifunza kwamba hofu haijawahi kutatua tatizo la pesa kwa mtu yeyote.
NI
NJIA ZIPI HIZO?
Ungana na mimi leo kwenye somo hili 26/2/2019 saa 3 usiku katika darasa letu la masomo ya
pesa ya kila siku. Ada ni sh. Elfu 10 kwa mwaka mzima, unapewa na masomo
mengine yote yaliyopita mwaka 2018. Namba za kulipia ni 0765553030 au
0712202244 jina ni Peter Augustino Tarimo. Baada ya kutuma, tuma ujumbe wa
kawaida au wasap ukisema, “NIUNGANISHE NA GROUP LA MASOMO YA PESA”
Ikiwa hutumii wasap, utapata masomo hayo yote kama
kawaida kupitia Email yako.
KARIBU SANA!
WASAP: 0765553030
Masomo, vitabu na vitu mbalimbali tunayokutumia mara ujiungapo ni hivi vifuatavyo;
Masomo, vitabu na vitu mbalimbali tunayokutumia mara ujiungapo ni hivi vifuatavyo;
1. Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.
2. Kitabu
kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1
3. Kitabu
kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2
4. Kitabu
kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.
5. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza,
ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.
6. SEMINA:
Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
7. Kifurushi
maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)
8. Mchanganuo
wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza
9. Mchanganuo
wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.
10. Vielezo(Templates)
za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.
11. Mfumo
mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA SYSTEM)
unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake
pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
12. Somo
muhimu sana la mzunguko wa fedha.
13. Ukurasa
mmoja wa mchanganuo.
0 Response to "HIVI UNAJUA HATUA ZA KUACHANA NA UMASIKINI ZINAFANANA NA ZILE ZA KUACHA UNGA?"
Post a Comment