SEMINA HUJACHELEWA BADO SIKU 2: JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA FEDHA KATIKA NCHANGANUO WA BIASHARA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

SEMINA HUJACHELEWA BADO SIKU 2: JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA FEDHA KATIKA NCHANGANUO WA BIASHARA

WANASEMINA
Leo kwenye semina tulikuwa na maelezo ya kina juu ya kila kipengele kinachohusiana na namba au hesabu katika Mchanganuo mzima wa biashara. Kesho tutajifunza jinsi ya kufanya hesabu ndogondogo kama kukisia mauzo, gharama za mauzo, gharama za uendeshaji, mishahara, nk. Kisha kesho kutwa tutamalizia na Ripoti kuu 3 za fedha hatua kwa hatua na namna zinavyohusiana kila moja. 


Ikiwa hukuweza kushiriki leo bado nafasi ipo na unaweza kulipia kiingilio chako, tukakutumia semina ya leo pamoja na masomo yote ya siku zilizopita vikiwemo vitabu vizuri vya fedha na michanganuo ya biashara na kesho utaendelea kupata masomo yaliyobakia kama kawaida huku ukiendelea kuwa mwanachama wa GROUP LA MICHANGANUO-ONLINE kwa mwaka huu wote bila kulipa tena hata senti 5.

Kujiunga na Semina hii, lipa kiingilio chako sh. Elfu 10 kupitia namba zetu 0712202244 au 0765553030 kisha tuma ujumbe usemao, “NIUNGANISHE NA SEMINA” Ikiwa hutumii WASAP unaweza kupata masomo yote kupitia E-mail yako bila shida yeyote ile.


Masomo ya zamani, vitabu na semina tunazokutumia ni hizi zifuatazo;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Kitabu kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1

3.  Kitabu kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2

4.  Kitabu kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.

5.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

6.  SEMINA: Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

7.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

8.  Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza

9.  Mchanganuo wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.

10.              Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

11.              Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

12.              Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

13.              Ukurasa mmoja wa mchanganuo.





0 Response to "SEMINA HUJACHELEWA BADO SIKU 2: JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA FEDHA KATIKA NCHANGANUO WA BIASHARA"

Post a Comment